Taifa kwanza: Rais na mawaziri 2015

Taifa kwanza: Rais na mawaziri 2015

ushawishi wako hauna mashiko! kwanini usiseme tarakimu6? kama wana misimamo kwanini walianzisha CCJ? ok. tuache la CCJ, mbona ameshindwa kutetea yale maazimio 21 ya kamati yake teule?

- Mkuu jiulize CCJ ilikufaje sio ilianzaje!, Mwakyembe ni kiongozi mwenye uthubutu ndio a sitting Waziri Mkuu aliishia kujiuzulu, unaijua hoja ya Dr. Slaa iliyoishia kuomuondoa kiongozi yoyote kwenye taifa?, maana hoja ya Mwakyembe ilimuondoa Waziri Mkuu na Mawaziri Wawili pamoja kwa wakati mmoja!

Willie @ NYC, USA.
 
- Hapana mkuu, kama sio yeye a sitting Waziri Mkuu asingejiuzulu na mawaziri wengine Wawili, na kama sio Wapiganaji CCM isingejivua magambas, na Makamba angekua bado katibu mkuu mpaka leo!

- Infact, inapokuja kwenye matendo, Mwakyembe stands very tall ndani ya CCM kuliko wengine wengi!

Willie @ NYC, USA.
Khaaaaaaaaa! Kumbe gamba alikuwa Makamba? Mbona CCM bado haijajivua gamba? Waziri Chikawe si alimsafisha Chenge juzi huku Dr Mwakyembe akiwa bungeni? Afadhali Sitta alijikakamua aksema hayo mambo yatakuwa accomodated kwenye katiba mpya. Ningemwelewa sana Mwakyembe angejiuzulu baada ya baadhi ya watuhumiwa wa Richmond kupewa vyeo kwenye serikali ambayo na yeye yumo. Anafahamu kwamba swahiba wake Sitta ameondolewa kimizengwe kwenye kiti na hawa hawa mnaowaita mafisadi lakini sasa yupo serikali moja na hao hao. Sijashawishika bado
 
Sidhani kama umri utakuwa ni tatizo sana maana mwaka 2015 Dr. Salim atakuwa na miaka 73 na Slaa atakuwa na miaka 67.....Ina maana wote tuwaite wazee???.......

Rais Abdoullaye Wade wa Senegal aliingia madarakani akiwa na miaka 74....

NB.....Kwangu mimi ni vigumu kumtabiria kiongozi fulani kwamba ndiye atarekebisha matatizo ya nchi faulani......Huwa wanabadilika sana wakiingia madarakani....

Nilijua anakimbilia 80s, ila sasa huyu bwana angefaa sana kipindi hiki kinachomalizika.(utakuwa umenielewa hapo). angeweza sana kuimarisha muungano wetu, tatizo sasa hivi ana uathirika ule wa ubaguzi uliofanya kipindi kile cha mchakato wa kumtafuta mgombea, sidhani km yupo tayari kurudi kwenye ile dhambi aliyotwisha. hizi siasa za sasa hivi najua hazitaki tena. tumuache apumzike, aendelee kuwa mshauri wetu mzuri kwenye masuala ya kidiplomasia. hawa ndo wale wana CCM wafu.
 
- Mkuu sana Bala, vipi unajua msimamo wake kuhusu mafisadi au Dowans? Tuwekee hapa ndugu yangu!

Willie @ NYC, USA.
Kumbe ni msimamo tu unaohitajika? Kama ndivyo mwenye msimamo uliwazi kuliko wote ni Dr Slaa. Inawezekana anajua kuwa wanufaika wakubwa wa Dowans na Kagoda ni Rais Kikwete kwa hiyo anajua hakuna kinachoweza kufanyika
 
- Mkuu jiulize CCJ ilikufaje sio ilianzaje!, Mwakyembe ni kiongozi mwenye uthubutu ndio a sitting Waziri Mkuu aliishia kujiuzulu, unaijua hoja ya Dr. Slaa iliyoishia kuomuondoa kiongozi yoyote kwenye taifa?, maana hoja ya Mwakyembe ilimuondoa Waziri Mkuu na Mawaziri Wawili pamoja kwa wakati mmoja!

Willie @ NYC, USA.

dah! mkuu ina maana hujui kuwa chanzo cha mkataba ule tata wa richmond ni makelele ya Dr.Slaa ndo ikaundwa kamati ya hao akina shelukindo?
(ok. nilisema sitaizungumzia CCJ, ila ilikufa baada ya zengwe la tendwa kutoipa usajili wa kudumu na hivyo kukosa sifa ya kusimamisha mgombea, wangepata usajili nina imani leo hii mzee tarakimu na mwenzake wangekuwa bungeni kupitia CCJ)
 
Unapoongela nani anafaa kuwa rais, waziri nk unamaanisha watakoshinda na kuunda serikali.
Nimapema sana kujua nani atashika nchi ila kama uchaguzi utafanyika kesho bado CCM watashinda kwa nmna yoyote

CCM
Rais
Sita au
Magufuli au
Mwakyembe

PM
This time mwanamke, Anne kilango malecela

Mawaziri,
Januari
Olesendeka
Agrey Mwandi
nape
..........
..........
...........

WASIOFAA KABISA
Ngeleja na malima
wa maliasili Maige
Gasia
Sophia simba(ntaukana uraia this time akipewa uwaziri)
Hosea(takukuru)

CDM
Rais
Beregu au
slaa,
Mbowe hapana

PM
Mdee

SPIKA
Marandu

MAWAZIRI
Lissu
Mnyika
Zitto
.......
........
........
.........

hawa hapana
Lema
Sugu
Wenje
Shibuda

updates to come

Mkuu mwakyembe anaweza kua mzuri sana tena sana lakini ninamashaka kama ataweza kutumia uwezo wake wote kusimamia malengo na maslai ya taifa kwani yuko kwenye mfumo ambao hautamruhusu kufanya hivyo mfano mzuri nikushindwa kusimamia mapendekezo ya kamati yake ikiwa nipamoja nakutoweza kuwawajibisha wahusika wakuu kama hosea n.k. Licha yakwamba umesisistiza taifa kwanza chama badae ila hatuwezi kujadili mtu anaefaa pasipo kujua anatoka chama gani kwani katiba hairuhusu mgombea binafsi na kwamantiki hiyo tunapaswa kuangalia mtu na chama anachotoka je kitamruhusu kutekeleza maslai ya wananchi hata kama hayaendani na maazimio ya chama chake? Kwaupande wangu naona Dr Slaa anafaa kwani nimsomi, anauchungu na taifa lake anapenda haki na mfumo wa sheria tena zaidi ya mwakyembe ndio maana kapigania uundwaji wa katiba mpya na mwisho yuko kwenye chama kinacho mruhusu kutekeleza matakwa ya wananchi tofauti na vyama vingine chadema ni chama kinachozingatia maslai ya taifa kwanza tena kwavitendo sina haja yakueleza hili kwa undani naamini unaelewa isitoshe kuliko mimi.
 
Kumbe ni msimamo tu unaohitajika? Kama ndivyo mwenye msimamo uliwazi kuliko wote ni Dr Slaa. Inawezekana anajua kuwa wanufaika wakubwa wa Dowans na Kagoda ni Rais Kikwete kwa hiyo anajua hakuna kinachoweza kufanyika

- Ni muhimu sana tukajua msimamo wa ishus muhimu kwa taifa sasa kwa wanaofaa kutuongoza, sasa ni kiongozi gani anayetaka kutuongoza ambaye sasa tuna matatizo hasemi msimamo wake?

Willie @ NYC, USA.
 
Unapoongela nani anafaa kuwa rais, waziri nk unamaanisha watakoshinda na kuunda serikali.
Nimapema sana kujua nani atashika nchi ila kama uchaguzi utafanyika kesho bado CCM watashinda kwa nmna yoyote

CCM
Rais
Sita au
Magufuli au
Mwakyembe

PM
This time mwanamke, Anne kilango malecela

Mawaziri,
Januari
Olesendeka
Agrey Mwandi
nape
..........
..........
...........

WASIOFAA KABISA
Ngeleja na malima
wa maliasili Maige
Gasia
Sophia simba(ntaukana uraia this time akipewa uwaziri)
Hosea(takukuru)

CDM
Rais
Beregu au
slaa,
Mbowe hapana

PM
Mdee

SPIKA
Marandu

MAWAZIRI
Lissu
Mnyika
Zitto
.......
........
........
.........

hawa hapana
Lema
Sugu
Wenje
Shibuda

updates to come

Sikujua kama hii nayo ni sifa muhimu kuwa Waziri Mkuu.
 
- Ni muhimu sana tukajua msimamo wa ishus muhimu kwa taifa sasa kwa wanaofaa kutuongoza, sasa ni kiongozi gani anayetaka kutuongoza ambaye sasa tuna matatizo hasemi msimamo wake?

Willie @ NYC, USA.
Msimamo wa Kikwete kwenye ufisadi unaujua Mkuu?
 
Huu sio muda mwafaka kuanza kujadili nani awe rais nani asiwe tufanye kazi kwanza waliyotutuma wananchi
lakini kama unataka sifa za mtu atakayeifaa tanzania kwa sasa ni yule anayechukia ufisadi mengi yatafuata
kwa msingi huo anajulika kwa wazi ni Dr.Slaa atatufaa sana na kaonyesha kwa vitendo.
 
Mkuu mwakyembe anaweza kua mzuri sana tena sana lakini ninamashaka kama ataweza kutumia uwezo wake wote kusimamia malengo na maslai ya taifa kwani yuko kwenye mfumo ambao hautamruhusu kufanya hivyo mfano mzuri nikushindwa kusimamia mapendekezo ya kamati yake ikiwa nipamoja nakutoweza kuwawajibisha wahusika wakuu kama hosea n.k. Licha yakwamba umesisistiza taifa kwanza chama badae ila hatuwezi kujadili mtu anaefaa pasipo kujua anatoka chama gani kwani katiba hairuhusu mgombea binafsi na kwamantiki hiyo tunapaswa kuangalia mtu na chama anachotoka je kitamruhusu kutekeleza maslai ya wananchi hata kama hayaendani na maazimio ya chama chake? Kwaupande wangu naona Dr Slaa anafaa kwani nimsomi, anauchungu na taifa lake anapenda haki na mfumo wa sheria tena zaidi ya mwakyembe ndio maana kapigania uundwaji wa katiba mpya na mwisho yuko kwenye chama kinacho mruhusu kutekeleza matakwa ya wananchi tofauti na vyama vingine chadema ni chama kinachozingatia maslai ya taifa kwanza tena kwavitendo sina haja yakueleza hili kwa undani naamini unaelewa isitoshe kuliko mimi.

- Well, kwanza ninaamini kwamba huenda by 2015 tukawa na wagombea binafsi, lakini pia ninasema hivi Mwakyembe ameshaonyesha kwamba ana uthubutu wa kuweza kusimama kidete kwenye mazingira tuliyonayo sasa, meaning kwamba akipewa nafasi ya Urais au Waziri Mkuu, kwa kweli tutasonga mbele kidogo, mchango wako mzito sana mkuu Agreed 100%!

Willie @ NYC, USA.
 
- Sema nani anafaa au hafai kua Rais au Waziri, kama huwezi kaa pembeni achia wanaoweza mimi sigombei urais wala anything, uwe na siku njema sana mkuu!Willie @ NYC, USA.
wewe pia waweza kutaja tukujadili, kuwa mtoa mada haikupi haki ya moja kwa moja kusikiliza/kusoma na kukosoa, pambanua kama dr. Slaa hafai mpambanishe na unayedhani anafaa.
 
- Ni muhimu sana tukajua msimamo wa ishus muhimu kwa taifa sasa kwa wanaofaa kutuongoza, sasa ni kiongozi gani anayetaka kutuongoza ambaye sasa tuna matatizo hasemi msimamo wake?

Willie @ NYC, USA.

mkuu hapa nadhani unajichanganya, mwenye msimamo kuhusu issues muhimu kwa taifa hakuna zaidi ya Dr.Slaa. nasema hakunaa.
 
wewe pia waweza kutaja tukujadili, kuwa mtoa mada haikupi haki ya moja kwa moja kusikiliza/kusoma na kukosoa, pambanua kama dr. Slaa hafai mpambanishe na unayedhani anafaa.

- Ninaamini umenielewa kwamba mimi sigombei anything, otherwise karibu sana mkuu!

Willie @ NYC, USA.
 
Back
Top Bottom