Taifa halina budi kumuandaa Magufuli Mpya

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,535
Reaction score
31,199
Tukiadhimisha mwaka mmoja wa kumpoteza Jemedari mwenye uthubutu hususani uthubutu dhidi ya wakoloni mamboleo kama Taifa tunapaswa kumuandaa "Magufuli " wa Pili.

Inaeleweka wazi kuwa The legend JPM alisimama imara na kwa kujitolea uhai wake kwa watanzania ili tufanikiwe.

Kamwe walami hawawaezi kumpenda kiongozi mwenye uthubutu wa Hayati JPM.

Hivyo basi ni muda muafaka kuanza kumsaka kijana shupavu atakayekuja na Sera za Magufuli.

Je, ni vijana wangapi wenye haiba na hulka ya the late and the legend John Pombe Magufuli??

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Tukiadhimisha mwaka mmoja wa kumpoteza Jemedari mwenye uthubutu hususani uthubutu dhidi ya wakoloni mamboleo kama Taifa tunapaswa kumuandaa "Magufuli " wa Pili.
Inaeleweka wazi kuwa The legend JPM alisimama imara na kwa kujitolea uhai wake kwa watanzania ili tufanikiwe.

Kamwe walami hawawaezi kumpenda kiongozi mwenye uthubutu wa Hayati JPM.

hivyo basi ni muda muafaka kuanza kumsaka kijana shupavu atakayekuja na Sera za Magufuli.

Swali?Je ni vijana wangapi wenye haiba na hulka ya the late and the legend John Pombe Magufuli??

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Magufuli ni masihi alisema amekuja kuandaa njia yupo anaye kuja.
 
never again kuandaa/ au system kuzubaa kupita kiasi hadi mtu wa namna hii kuwa Ikulu
 
echoing the cowards
 
Swali?Je ni vijana wangapi wenye haiba na hulka ya the late and the legend John Pombe Magufuli??

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!

Wapo wengi tu mkuu…km CCM wakiamka na kujitambua…

maana naona km wengi waoga na wachumia tumbo…wakipewa kitita wanauza nchi kwa mafisadi…
 
Back
Top Bottom