Tai hapigani na nyoka ardhini

Tai hapigani na nyoka ardhini

Maombi .. Sala na maombi vina nguvu sana
Afu hilo swali nilitaka pia kuuliza kwa mfano

wewe Si muabudu wa Dini yoyote ila unahisi kabisa kuna Vijibwana vinachezea maisha yangu kwa kuyavuruga kwa makusidi makazini na sehemu zingine yaani unaona jambo linaenda vizuri ila likifika some point ambayo hata ukimwadithia mtu lilipokwamba ye mwenyew anashangaa limekwama. Ghafla ila tu ulikuwa na ushindani nao zaman hao mabwana na kuna watu zaido ya watani wanakufata kukuonya kuhusu mtu mmoja uwe naye makini kuhusu maisha yako na wala hujawauliza wengine huwajui , je umfate huko huko kunako silaha zake (ushirikina) umtandike au ufanye nni?

CC: Mshana Jr
 
Atamchukua juu angani na kubadilisha uwanja wa vita, na kisha atamwachilia nyoka angani.

Nyoka hana stamina, hana nguvu na hana usawa hewani. Hivyo kushindwa mapigano ni hakika kwa asilimia 100

lakini haina maana kwamba nyoka ni mdhaifu la hasha. Udhaifu wake unatokana na uwanja wa vita usio wake tofauti na ardhini ambapo ana nguvu ya kujeruhi kuumiza na hata kusababisha mauti.

Chukua vita yako katika ulimwengu wa roho kwa kuomba na ukiwa katika ulimwengu wa roho Mungu anachukua vita vyako.

Usipigane na adui katika eneo lake la faraja, badilisha uwanja wa vita kama Tai na Mungu akusimamie kwa maombi yako ya bidii na ya dhati ya moyo wako.

Utakuwa na uhakika wa ushindi safi!

View attachment 2790189

Sent using Jamii Forums mobile app
Well said ,God bless you...
 
wewe bibi unamatatizo.
short video hiyo ndio unaleta ushahidi hapa..?

Nyoka hujaona kakamatwaje clip imekatwakatwa ndio unatuletea hapa ???

wewe ndio wale mtu akisema fisi wanaushilikiano sana wanasaidiana kwenye vita.
Unaenda kutafuta clip ya fisi mmoja katelekezwa kwenye vita na mwenzio kuja kupinga hoja 🤣🤣🤣🤣
Wewe itazame toka mwanzo hiyo wacha kuitazama juujuu. Kauliwa chini huyo akabebwa.

Huwa sikisii.
 
Afu hilo swali nilitaka pia kuuliza kwa mfano

wewe Si muabudu wa Dini yoyote ila unahisi kabisa kuna Vijibwana vinachezea maisha yangu kwa kuyavuruga kwa makusidi makazini na sehemu zingine yaani unaona jambo linaenda vizuri ila likifika some point ambayo hata ukimwadithia mtu lilipokwamba ye mwenyew anashangaa limekwama. Ghafla ila tu ulikuwa na ushindani nao zaman hao mabwama je umfate huko huko kunako silaha zake (ushirikina) umtandike au ufanye nni?
Kila kitu kina pande mbili..
Ulimwengu wa nuru na ulimwengu wa giza.. Hakuna kitu kinakosa plan B labda muda tuu
Kwa wasio waumini na waamini ama kwa walio na imani nusu na robo hawa hukimbilia plan B


Ukishindwa kusamehe lipa kisasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila kitu kina pande mbili..
Ulimwengu wa nuru na ulimwengu wa giza.. Hakuna kitu kinakosa plan B labda muda tuu
Kwa wasio waumini na waamini ama kwa walio na imani nusu na robo hawa hukimbilia plan B


Ukishindwa kusamehe lipa kisasi

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafadhali Proffesor Mshana Jr rudia tena kusoma sasa kwa mfano bado anakuumiza na ulishamsahe ufanyeje kujichomoa kwenye vita na yeye au umfate umchane live


Huo uzi wa kisasi ni moja ya uzi wangu pendwa mwka 2016
 
Tafadhali Proffesor Mshana Jr rudia tena kusoma sasa kwa mfano bado anakuumiza na ulishamsahe ufanyeje kujichomoa kwenye vita na yeye au umfate umchane live


Huo uzi wa kisasi ni moja ya uzi wangu pendwa mwka 2016
Nimekuwekea hii link ifungue usome mada yote inayo majibu ya hakika sana


Ukishindwa kusamehe lipa kisasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yale mambo ya uchawi uchawi achana nayo father huku ndo kwenyewe. Nimefarijika sana sio utani.
Fanya mpango mkambatize kwenye maji mengi, maana upande wa pili kutoka huwa na changamoto sana 😄!.
 
Yale mambo ya uchawi uchawi achana nayo father huku ndo kwenyewe. Nimefarijika sana sio utani.
"Nitakaposimama mbele ya Mungu mwishoni mwa maisha yangu, natumaini kwamba sitakuwa na kipawa hata kimoja kilichosalia na nitaweza kusema, 'Nilitumia kila kitu alichonipa Mwenyezi Mungu wangu



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila siamini kwenye Uislam wala Ukristu bali naamini Mungu tu na kwa imani zetu za asili za Kiafrika
Ni imani pia.. Tena pengine iliyo hakika zaidi
Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, wala usizitegemee akili zako mwenyewe; katika njia zako zote mkiri yeye, naye atayanyosha mapito yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...
 

Attachments

  • FB_IMG_1698069079909.jpg
    FB_IMG_1698069079909.jpg
    51 KB · Views: 5
Wewe itazame toka mwanzo hiyo wacha kuitazama juujuu. Kauliwa chini huyo akabebwa.

Huwa sikisii.
usiemjua Tai ni wewe tu, bibi cha ubishi
 

Attachments

  • Why God Chose Animals to represent Him• PROPHET LOVY ELIAS_001.mp4
    1.7 MB
Back
Top Bottom