Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,701
- 6,930
Cha maana ni kuanza kutafutana mitaani kwanza.......
Kama wakati ule wa mwembekahawa.
Cha maana ni kuanza kutafutana mitaani kwanza.......
Mange Kimambi ndo kawashikia akili zao. Mbona tunaiga hata yasiyostahili?Saivi Wapinzani wa Tanzania wanamtegemea Mange Kimambi
miaka ya 1950 kuna watu walikuwa wanamcheeeka Nyerere kuwa huyu kijana eti anataka kumuondoa Muingereza!


Naomba huu ujumbe wako ubaki kama ushahidi kuwa ulikua mmoja wa waliokatisha tamaa waliotaka kuandamana kudai mabadiliko ya kimfumo, MAYALLA KWETU MEANS NJAA!Naunga mkono hoja, hakuna maandamano yoyote wala hatuna yeyote wa kuandamana.
Hili ndio la msingi, hii dhana ikiendelea kujengeka serikali ya ccm ijichunge sana isirudie kufanya uonevu kwa halaiki. Polisi watafyatua risasi baadae wataona ni upuuzi kuendelea kuua ndugu zao. mapinduzi yatatimia.Kinachoniogopesha mimi wala siyo kufanyika kwa maandamano hayo, bali ni ile dhana kwamba kuna Watanzania wameanza kuwaza njia hatarishi kufikia mabadiriko wanayoyatamani, hii ndo point ya msingi ambayo wenye hekima lazima wajiulize tumefikaje huko?
nadhani yakizungumzwa sana kuna siku itafanywa kweli. tukutane ubungo mataa wale wa mikoani.![]()
Kile kitendo cha watu kuanza kuongea tu mitandaoni suala la kuandaa mgomo nayo ni hatua usibeze.Hoja yako ni nini?
Unamlinganisha Nyerere na nani unayedhani anayebezwa kuwa hawezi kuiondoa serikali madarakani?
Kumbuka pia Sababu za Mwl. Nyerere na mazingira zilikuwa tofauti na hizi so called sababu za hawa wa leo ambao wanapiga kelele kwenye mitandao.