babu M
JF-Expert Member
- Mar 4, 2010
- 5,222
- 3,176
Wanapiga kampeni za kuandama kwenye social media(sio mwanzisha huu uzi) wenyewe hawana ata ujasiri wa kutumia majina yao!
Mwenyekiti wa Chadema mwenyewe kajificha kwa kuogopa kujisaidia kwenye debe!
Wanapiga kampeni nje ya nchi hata kuja holiday hawasubutu, ndio maandamano!
Halafu kuna wachache bila kufikiria watataka kutimiza azma yao...wajinga ndio waliwao!!!