Tahossa

frankg

Member
Aug 14, 2012
25
1
HEBU NISAIDIENI KWANI HAWA WANAOJIITA TAHOSSA WAO SIO WAALIMU? Kwani wengi wao mashuleni hawafundishi, shuleni hufika wanapojisikia, naomba mnisaidie kama wao waliajiriwa kama walimu au kama wafanyakazi wa kukaa ofisini tu.....................................................??????????????????????????????
 
Kwani huko kazini kwako kuna ma-tahossa wangapi?
 
nijuavyo mimi TAHOSSA ni chama!!sasa unataka chama kifundishe!!kwani CWT inafundisha!!
 
Tanzania Heads Of Secondary Schools Association (TAHOSSA), wanachama wake ni wakuu wa shule tu (makamu wakuu wanaweza kuhudhuria kwa niaba ya wakuu wa shule kwa barua maalum na hawawezi kushiriki kwenye upigaji kura).
 
Umemfafanulia kwa usahihi kabisa.Hakuna cheo au mtu mmoja mmoja aitwae TAHOSSA. Lakini hebu yeye atueleze alikuwa anafikiri TAHOSSA nini ni au ni nani?
 
Back
Top Bottom