baba aura
JF-Expert Member
- Aug 5, 2023
- 230
- 348
Habar Wakuu,ivi serikali yetu husika inashindwaje kuajiri waalimu,yaani pamoja na kupewa taarifa za mapato either kutoka halimashauri
Katika pitapita zangu vijijini huko kwenye kula sikukuu nimekutana na habari ya kuwa Kuna waalimu wa sekondari na shule ya msingi wanalipwa na wazazi na sio kila mwezi
Hawa waalimu wemepachikwa tu kijanja janja ilimradi mkate wa siku waupate sasa sijui kama utendaji wao kazi ni wakiwango gani,
Serikari iajiri waalimu na kuwalipa ns sio wazazi wawalipe walimu