yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,925
- 4,193
Mbona kamoto kadogo namna hiyo kanasimamisha shughuli
Kadogo lakin moto unaongezeka kadiri mda unavyosogea. Moto ni wa umeme ila wamekuja fire badala ya tanescoMbona kamoto kadogo namna hiyo kanasimamisha shughuli
Wamekuja na maji au story??Kadogo lakin moto unaongezeka kadiri mda unavyosogea. Moto ni wa umeme ila wamekuja fire badala ya tanesco
mboni ka moto kenyewe kadogoooo kama ka ku chomea bukulwa (viazi vitamu)
Wanaume WA Dar ni Habari nyingineWanaume wa DAR aisee, wanaujadili badala ya kuzima.
yaani ka moto hako ningekuwako mimi hapo natupiamo tuviazi twangu tuwili fasta halafu nauzima na kisiginoWanaume WA Dar ni Habari nyingine
Wanaume WA Dar ni Habari nyingine