G.Jacob
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 3,617
- 3,484
Ndio mkuu ni org. Wakati naanza maisha ya kujitegemea nilinunua kila kitu cha sony tena kipindi kike technical department yao ilikuwa mikocheni kule jirani na ilipokuwa Majembe auction.M na nilinunua kwa ushauri wao wa kiufundi kabisa, kweli nilikaa nazo kana miaka 3 hivi ikazingua moja nikaweka chonjo, sijakaa sawa ikazingua ya sebureni nikaona isiwe tabu nikatundika projector hadi leo ila Redio bado ninayo inadunda si kitoto.is it original sony?? nina moja hapa mwaka wa 4 huu!!
Sent using Jamii Forums mobile app