Tahadharini LG Tv Workshop usithubutu

Tahadharini LG Tv Workshop usithubutu

Tatizo lake kubwa ni main card/card inayobeba video chips ina overheat, na kwa tv za flat zikianza hivyo basi ni kubadilisha tu hiyo card, kama uwezo wako ni mdogo basi unafunga zile za universal tu.
Universal tv card unapata kwa 45 - 80 inategemea na model yake then fundi wa kukufungia mnapatana tu malipo ya kazi.
Mkuu Mimi ya kwangu inafanya kama ya huyo ndugu hapo juu ila yenyewe picha haipo kabisa na mafundi wamecheki main card iko vizuri mana walibadilisha na kujaribu zingine ikaonekana tatizo ni lilelile. Hapo yaweza kuwa ni kioo!?
 
Nimepeleka LG Tv yangu kwenye karakana ya duka la vifaa vya LG iliyopo mtaa wa Nkurumah Dar es Salaam, ili ipokelewe nimelipa Sh. 30,000/=. Baada ya muda wakanipigia simu gharama za matengenezo Sh 250,000/= na zile 30,000/= inakuwa shs 280,000/= nusu ya bei ya Tv yenyewe Sh. 600,000/=.

Nimeamua kuichukua na wao wanachukua Sh.30,000/= bila jasho na mtu mwingine akienda watambamiza na bei kubwa ashindwe wapate 30,000/= za bure na huenda hawana spea au wameshindwa lakini pesa inaingia bila jasho.

Nimemkumbuka aliyewahi kuulizia karakana hii ya LG.
Sijui hawa huwa wanatumia vigezo gani kupata wataalamu wao, ila nahisi kabisa hawa wanaoajiriwa kama mafundi hawana ujuzi wowote. Ni mafundi waliokariri. Wao wanaochojua ni kunadili components na sio kurepair. Mfano mwaka 2017 nilipelela kinanda cha Yamaha kwenye ofisi zao pale kariakoo, kilikuwa kimepata shida ya kadi. Ukiwasha kinawaka vizuri ila hakuna function yoyote kuanzia sauti hadi setup. Nikawapelekea gharama yao ilikuwa nusu ya bei ya kinanda kipya (kinanda 2400000, matengenezo 1200000) na walidai kadi imekufa kabisa hivyo lazima iagizwe dubai. Nikampata jamaa fulani (sikuwa naamini kitapona ila niliona kuliko kukaa tu bora nikajaribu) nikampelekea mzee wa watu mtu wa kawaida kabisa, akatengeneza kwa bei chini ya lakini tatu na hapo kilikuwa kimetembea mikoa isiyopungua minne kote mafundi wanatoka kapa. Nyingine nilikuwa na simu VIWA imepasuka LCD nikaonhea na jamaa mmoja ana duka la vifaa akaniambia touch ni 10000 lcd 15000 ila bahati mbaya siku naenda hakuwa na lcd, akaniambia twende kwnye duka lao tukachukue. Kufika nikaambiwa touch 20000 na lcd 30000, nikabaki nashangaa iweje wenye kifaa wawe na bei kubw hiv, nikasepa. Akili zao wanazijua wenyewe (sasa hiyo 30000 ni ya nini wakati ndio kazi yao)
 
Tatizo la workshop za wahindi zimejaa uongo kuliko ukweli, mimi niliambiwa video card imekufa, wakasahau wakaniambia LED zimeungua! Sasa hiyo 30,000/= ni gharama za kutunga uongo, unaambiwa kabla ya fundi kuifungua na kujua tatizo. Shs 280,000/= ni za matengenezo hewa, walivyo waongo hawawezi kukuonesha kifaa kilichoharibika na hawalipi kodi kwani hawatoi risiti ya TRA. Unaishia kulipa kishika uchumba shs 30,000/= na mahali shs.280,000/= jumla shs.310,000/= nusu ya bei ya TV mpya.
 
Naomba muweze kuamini mafundi wa mtaani ni wazuri kuliko wa kampuni,wazenguaji halafu vifaa hawana
 
Nimepeleka LG Tv yangu kwenye karakana ya duka la vifaa vya LG iliyopo mtaa wa Nkurumah Dar es Salaam, ili ipokelewe nimelipa Sh. 30,000/=. Baada ya muda wakanipigia simu gharama za matengenezo Sh 250,000/= na zile 30,000/= inakuwa shs 280,000/= nusu ya bei ya Tv yenyewe Sh. 600,000/=.

Nimeamua kuichukua na wao wanachukua Sh.30,000/= bila jasho na mtu mwingine akienda watambamiza na bei kubwa ashindwe wapate 30,000/= za bure na huenda hawana spea au wameshindwa lakini pesa inaingia bila jasho.

Nimemkumbuka aliyewahi kuulizia karakana hii ya LG.
Je, tatizo la TV yako lilikuwa ni nini ? Maana unaweza ukawa unawalaumu bure kumbe bei uliyotajiwa unaenda sambamba na tatizo la TV yako.
 
Kwenye maelezo yangu nimesema hivi, kabla ya kufungua ili wajue tatizo waliniambia video card imekufa! Haohao wakaniambia LED zimekufa! Hata hivyo ilikuwa picha inatokeza na kupotea kwa kufifia lakini sauti ipo. Walipojidai wametengeneza hawakuweza kunionesha kilichokufa! Katakana makini mteja huambiwa gharama baadavya kifaa kufunguliwa na kupimwa kisha huoneshwa kifaa kilichobadilishwa, wahindi wale ni waongo huo ndiyo ukweli.
 
Mkuu Mimi ya kwangu inafanya kama ya huyo ndugu hapo juu ila yenyewe picha haipo kabisa na mafundi wamecheki main card iko vizuri mana walibadilisha na kujaribu zingine ikaonekana tatizo ni lilelile. Hapo yaweza kuwa ni kioo!?
Inawezekana mkuu kutokana na majaribio yaliyofanyika na mafundi wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zinaunguza vioo hizo tv, mm nimeua zangu mbili karatasi la juu linakokonyaa kama limebabuliwa na moto nikaamua kuacha sasa nimefunga LG projector yenye DLP sina wasiwasi hata kama kuna watoto sebureni mi naendelea na mambo yangu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

is it original sony?? nina moja hapa mwaka wa 4 huu!!
 
Zinaunguza vioo hizo tv, mm nimeua zangu mbili karatasi la juu linakokonyaa kama limebabuliwa na moto nikaamua kuacha sasa nimefunga LG projector yenye DLP sina wasiwasi hata kama kuna watoto sebureni mi naendelea na mambo yangu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inafanyaje kazi bro, please naomba uzoefu.
 
Inafanya kazi ileile kama ya TV mkuu sema inatumia mwanga.
Ni projector kama zilivyo zingine sema yenyewe inatumia mfumo wa kisasa wa Digital Light Processing kutoa picha tofauti na zile zinategemea taa na rgb pekee, hii yenyewe imeongezewa kachip ndo hako kanaprocess hizo image kwa ubora zaidi.
Ukifunga hii hata kama una toto tundu home hautakuwa na stress za kuvunjiwa TV na manati, mana kitu kinamulika ukutani tena kwa size unayoitaka mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom