Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,721
- 6,592
Imeunguza taa za kumulika kioo,mafundi wa kariakoo wanatengeneza hilo kwa chini ya 150,000Kuna wakati picha inapotea inabaki ikionekana kwambali lakini sauti inatoka, ikifurahi picha inarudi.
Imeunguza taa za kumulika kioo,mafundi wa kariakoo wanatengeneza hilo kwa chini ya 150,000Kuna wakati picha inapotea inabaki ikionekana kwambali lakini sauti inatoka, ikifurahi picha inarudi.
safi sanaPole sana. Mie niliwahi peleka redio ya lg wakaniletea hizo stori. Nkawaambia nalipia 30000 kama mtanipa risiti ya tra.
Jamaa katabasamu akaniambia chukua redio yako
Kwa waganda kariakoo tv universal card ni sh 27,000 tuTatizo lake kubwa ni main card/card inayobeba video chips ina overheat, na kwa tv za flat zikianza hivyo basi ni kubadilisha tu hiyo card, kama uwezo wako ni mdogo basi unafunga zile za universal tu.
Universal tv card unapata kwa 45 - 80 inategemea na model yake then fundi wa kukufungia mnapatana tu malipo ya kazi.
Lipia Tangazo
Hakuna chombo cha kutumia umeme vhenye garantii ya uhakika.
Ukiona umedumu nayo basi tambua kuna mwenzako katumia miezi 2 tu ikabuma.
LG Flat screen TV nchi 32.Ni tv ya aina gani Flat au CRT?
Nilianza kwa fundi Michael yeye aliniambia hana jeki hivyo hawezi kufunga spea.
Sana ninahitaji kujua fundi wazuri mbadala hapa Dar es Salaam.Usikute ni IC tu ndio inasababisha hilo tatizo!
Nikanunue picha mpya? Inauzwa wapi mkuu?Kanunue mpya tu mkuu.
Hahhah eti kwa fundi michael
Sawa nilijibu kwa fundi Michael nilikwenda ila alisema hawezi kutengeneza kwani hana jeki ya kubadilishia spea.Hahhah eti kwa fundi michael
Unaweza kunipa no za simu za hao waganda nduguKwa waganda kariakoo tv universal card ni sh 27,000 tu
Sawa mkuuSawa nilijibu kwa fundi Michael nilikwenda ila alisema hawezi kutengeneza kwani hana jeki ya kubadilishia spea.
Star x moja jamaa angu alinunua kufika home haisomi flash disc,akarudisha akapewa nyingine nayo baada ya kuitumia miezi 2 haisomi flash discTCL na STAR X ndo TV.
Zingine majangaView attachment 1267012