Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,401
- 29,925
November mwaka jana nilileta Uzi ukihusu tahadhari LG Workshop Dar, wakati ile nilipeleka flat screen TV kwa matengenezo.
Tatizo ni picha kuonekana na kupotea ila sauti haipotei, nimeipeleka tena kwa tatizo hilohilo na hii inaelekea baada ya picha kurudi wakaifunga na kuniambia imetengenezwa! Wakati ile nililipa shs 300,000/= leo wananitaka nilipe tena shs 100,000/= kwa matengenezo ya tatizo lilelile!