Mboka man
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 478
- 1,638
Nimefuatilia na kuchunguza kusema ukweli vijana wengi wanapoteza muda wanavyofanya kazi wanaishia kulipwa mishahara ya laki 3 mpaka laki 5 na hapo ale chakula avae apendeze na mengineyo ahudumie familia mke na watoto bado hapo ndugu asaidie
Jioni vijana wanataka wale starehe, mwisho kijana anabaki hana kitu huku akijipa matumaini ya ipo siku kutoboa
Ukifika Umri wa miaka 35 mpaka 40 na bado unaendelea kupekea mshahara wa laki tatu hadi tano unaona ramani haisomi
Aisee fanya plan B haraka achana na hiyo kazi kimbilia kwenye biashara utakuja kudhalilika huko mbeleni kwani wengi wakifika 50 years akili inahamia ukistaafu usabili kiinua mgongo na mafao ndo uanze kujenga, kufanya investments
Hivyo vijana chukueni hatua mapema kupewa mshaara wa laki tatu, nne sijui tano hauwezi kufika popote