Tahadhari ukiwa unakuja Tarime

Hakuna Wilaya yenye watu watu waungwana, wanaopenda watu kama Tarime. Hayo yaliyosemwa ni kweli ila mwananchi wa Tarime anapenda haki hataki dhuluma. Ndo maana kila uchaguzi wanamchagua Mbunge kwa haki na hata ukiwapa rushwa lakini wenyewe wanasimamia haki. Msiogope kuishi Tarime.
 
Umeandika pumba tu tena wanawake wa tarime ata kama mke wa mtu akikuona ww mwanaume wa kuja sio mzawa ukimtongoza

Hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…