Tahadhari tusiyoizingatia

Zamani nilikuwa siifatilii sana ile sauti ninayoisikia labda nataka kutoka nasikia inaniambia usiende.
Au Leo utaibiwa kweli naibiwa / au kupoteza kitu.
Siku hizi naifuata kila nikipata hisia au nikisikia sauti. mshana jr
 
Naamini kwa kufanya uzingativu umeokoka na mengi
 
By the time tupo chuo with my friends, sasa we went out (club) ikafika muda wa kuondoka, we were 4 peoples, N we met one of our class mate alikuwa na gari, huwezi amini akapanga kuturudisha main campus, mimi niligoma N nikaamua kuchukua boda na kulala town, moyo ulisita, kilichotokea mbeleni kwa wao ni gari kupinduka na kupata ajali ya kutisha, lakini Mungu mwema waliishia kuumia tu, hakuna aliyefariki
 
God is good [emoji106]
 
[emoji26][emoji24][emoji24]
 
Ooooh God

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…