Tahadhari tusiyoizingatia

huo mlango kwa lugha ya wenzetu huitwa telepath. ukijua ukuutumia utapata manufaa mengi sana. njia mojawapo ya kuutumia kwa mafanikio mazuri ni kufanyia kazi wazo la kwanza, na pengind ndipo ulipotokea usemi kuwa wazo la kwanza ni la mungu, yanayofuatia ni ya shetani.
 
Miaka kumi iliyopita, Baba yangu alikuwa anataka kusafiri kwa shughuli zake za kikazi kigoma, siku mbili kabla ya safari moyo wa mama ulikuwa mzito sana akamkatalia kusafiri, mzee akakubali akawaambia wenzake huko kigoma kuwa hatakwenda, lakini usiku wa kuamkia siku ya safari, mzee alibadili mawazo akawapigia simu wenzake akasema anakwenda, hii ni baada ya wao kumsihi sana, mama alizuia lakini ilishindikana ikabidi amwache, Kweli kesho yake akaenda hiyo safari, Ndo ilikuwa mwisho wetu wa kuwa nae katika maisha haya, baada ya wiki aliletwa nyumbani kwenye jeneza.
We miss you papaa
 
[emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25]Pole sana sana
 
Mmh tahadhari zote hizo ulikuwa hujui kwamba kuna kitu unaepushiwa? Lakini pia umegundua kuwa pamoja na balaa kukuandama kuna wakati kuna nguvu inakukinga na kukuepusha
sikua na ufahamu wowote Mkuu mshana kuhusu hili jambo,ila nmekua nikijifunza sana hapa jf,naamini wakati mwingine ntakua makini zaidi..
 
Chuo cha Sebastian Kolowa Lushoto kimevamiwa na watu wasiojulikana mida hii, na wamepiga watoto na kutaka kuchoma moto mabweni ..
 
Wanafunzi wanasema waliwaona watu waliovaa kanzu na vilemba na walikuwa na silaha ...
Aliyenitumia taarifa alikuwa ktk hali ya uoga sana , labda ndani ya JF mnaweza kutumia influence zenu kujua zaidi ..
 
Nimeambiwa Mlinzi mmoja kauawa na wengine 2 wamejeruhiwa vibaya kwa risasi ..
Matukio haya ya kuchoma mabweni ya shule na vyuo yanaongezeka kwa kasi ..., na sijasikia Polisi wetu wanaofanya mazoezi wakimudu kuzuia uhalifu huu ..., inakuwaje .... ?!
 
Mimi hii shule naifahamu fika ipo kwenye tarafa yetu ya mashati. Ilivyo ungua kuna walio sema ni mauza uza wengine wkasema ni mgongano wa kimaslah na shule nyingine za privet.
 
Nimeambiwa Mlinzi mmoja kauawa na wengine 2 wamejeruhiwa vibaya kwa risasi ..
Matukio haya ya kuchoma mabweni ya shule na vyuo yanaongezeka kwa kasi ..., na sijasikia Polisi wetu wanaofanya mazoezi wakimudu kuzuia uhalifu huu ..., inakuwaje .... ?!
Unaoneka tarifa za kiteljinsia wanazifutilia kwenye siasa tuu badala ya kufuatilia kwenye matukio
 
Nimeambiwa Mlinzi mmoja kauawa na wengine 2 wamejeruhiwa vibaya kwa risasi ..
Matukio haya ya kuchoma mabweni ya shule na vyuo yanaongezeka kwa kasi ..., na sijasikia Polisi wetu wanaofanya mazoezi wakimudu kuzuia uhalifu huu ..., inakuwaje .... ?!
Ni mkakati ulioanzia Kenya ukaingia Arusha Moshi sasa Tanga...safari inaendelea
 
ni kweli tupu mkuu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…