Tahadhari Picha zinatisha: Baba aua wanawe na mkewe

Tahadhari Picha zinatisha: Baba aua wanawe na mkewe

Tena wanaovaa hizo T-Shirts wengi wao wana roho mbaya wanaweza kufanya mambo kama ya huyo mwenzao,alafu mamlaka husika zikachukulia poa tu,(R.I.P.)
 
jamaa kavaa t shert ya hapa kazi tuu.duh ndo kafanya hyo kazi nomaa sana

yaani jamaa limewaua na kuwabanika na kula nyama choma.kuna watu wanadhambi mpaka najihisi mm mtakatifu.hizii laana hatari sana
 
Sitegemei kuvaa nembo ya chama hicho maishani mwangu!Pengine kwa kulazimishwa sana,hisia zinanijia ya kwamba nitakapo vaa tu, huwenda hata wazazi wangu waliotangulia mbele za haki basi ninawaongezea adhabu ya kaburi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom