Tahadhari Picha Inatisha ya chid benz

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,295
10350508_1723008791319572_3941048726419135558_n.jpg
 
Ukipanda mahindi usitegemee kuvuna mpunga.Inasikitisha lakini hayo ndiyo matokeo halisi.Tumuombee aweze kupona na kurudi ktk hali yake....Aaamin
 
lengo hasana la mtoa mada ni kuchekesha, kufundisha, kuonya jamii? au kumdhalilisha mtu?. ni kweli amefikia alipo kwa kujitakia lakin bado anahaki ya kuthaminiwa, imagine angekuwa ndugu yako wa karibu!. siyo vizuri
Mkuu lengo la mtoa mada ni kuonyesha raha na karaha ya maisha anayochagua mtu kuishi, binafsi simuonei huruma kwa vile ni maisha aliyoamua kuishi, kwani hakuonywa? hakukatazwa? hadi anakamatwa na polisi bado haachi unamuonea huruma ya nini? Ndivyo alivyoamua kuishi je hakujua madhara yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom