Ibrahimu Zuberi Mkondo
Member
- Sep 19, 2019
- 43
- 383
Msikitini sio sehemu ya kufanya upuzi kama mnavyo danganywa. Inaonekana wewe ni mtu mwenye chuki sana na uislaam, mada ilikuwa kuvaa kanzu na kuuza al kasusu nashangaa ghafla umeanza habari za uislaam na waislaam.Umewahi kuta mkristu amevaa kanzu anazunguka mtaani anayauza hayo makitu ya hovyo?
Waislamu ndio wahusika na watumiaji wakubwa, huenda ndio mnaoongoza kwa upungufu wa nguvu za kiume ndio maana mnabuni boosta mbalimbali kama hiyo
Hii huenda huwa mnatangaziwa msikitini muitumie kwa wingi
Mahindi uhifadhiwa na sumu ili yasiliwe na wadudu niambie kuna mfanyabiashara gani anaomda wa kuyasafisha ili kuondoa hio sumu kabla ajasaga.Chukua mahindi safisha saga mwenyewe ukiona,mfanyabiashara ujali Pesa yako na sio afya yakoSijakuelewa mkuu, kuna shida gani kula dona kwenye hoteli?
You are right!Mahindi uhifadhiwa na sumu ili yasiliwe na wadudu niambie kuna mfanyabiashara gani anaomda wa kuyasafisha ili kuondoa hio sumu kabla ajasaga.Chukua mahindi safisha saga mwenyewe ukiona,mfanyabiashara ujali Pesa yako na sio afya yako
Msikitini sio sehemu ya kufanya upuzi kama mnavyo danganywa. Inaonekana wewe ni mtu mwenye chuki sana na uislaam, mada ilikuwa kuvaa kanzu na kuuza al kasusu nashangaa ghafla umeanza habari za uislaam na waislaam.
Hata ukikuta mkristo kavaa kanzu anauza al kasusu bado utasema ni muislaam ili hoja yako itimie. Kama ambavyo mnafundishwa mvae kanzu mkanunue nyama ya ngiruwe ili ionekane waislaam wana kula nguruwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sunna tu mkuuUkiinywa unakuwaje??unaongeza nguvu za kiume au
Ndiyo kasusu yenyewe hiyo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sijawahi kuona wauzaji wa hichi kinywaji wakiwa na nguo nyingine tofauti na kanzu. Hii ni sare au kuvaa hivi kumetokana na nini?
Nimeanza kunywa na nimependa kazi yake,hizi ni zaidi ya energy drink zote lakini sijajua kama zina madhara ama la.
Sent using Jamii Forums mobile app
Msikitini sio sehemu ya kufanya upuzi kama mnavyo danganywa. Inaonekana wewe ni mtu mwenye chuki sana na uislaam, mada ilikuwa kuvaa kanzu na kuuza al kasusu nashangaa ghafla umeanza habari za uislaam na waislaam.
Hata ukikuta mkristo kavaa kanzu anauza al kasusu bado utasema ni muislaam ili hoja yako itimie. Kama ambavyo mnafundishwa mvae kanzu mkanunue nyama ya ngiruwe ili ionekane waislaam wana kula nguruwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kanzu ni vazi Bora kuliko vazi lolote duniani,,,ni vazi ambalo ukilivaa utaheshimika zaidi kuliko mavazi mengine.
Kwani Viagra ni sumu?
Wakristo mna chuki sana hv ni mambo gani ya ajabu hayo unayoyasema kuzidi afanyayo Nabii Tito, yule Nabii wa Mwanza marehemu jina nimelisahau na bado makondoo nyinyi mnawafuata hawa manabii kama mazuzu wakristo mnaongoza kwa kukosa uadilifu majizi wakubwa serikalini refer majizi yaliyotumbuliwa leo kina Kangi
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia tunayoishi mimi na wewe,
Ya kiarabu au na nyinginezo pia? All countries
Hivi unajuwa hata Yesu vazi lake lilikuwa ni kanzu!!