Tahadhari na gari toyota rav 4 T129DEZ

Tahadhari na gari toyota rav 4 T129DEZ

zanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2011
Posts
201
Reaction score
257
Wandugu nimeona ni bora nika share hili jambo nanyi ili mchukue tahadhari.
Hilo gari linatumika kwenye uwizi wa vifaa vya magari.

Nilikuta likiwa limepaki karibu kabisa na gari langu mida ya saa 4 usiku, walipo niona wa kaingia kwenye gari na kuondoka. Kutizama gari tayari walisha vunja kioo kidogo na bonet walisha fungua.nikakimbizana nao nikafanikiwa kusoma hizo no za gari.

Nime report hili swala polisi wiki ya pili sasa mara mpelelezi hajapangwa na mara ya mwisho nimeambiwa file limepotea niende nika andike tena maelezo. Nime amua kutokwenda na kulireport hili jambo hapa.
 
polisi wa Tanzania hawana msaada na raia pale mtu anaporipoti tatizo lake na anahitaji msaada.
mimi nilikua na ishu ya kuibiwa nikapata hadi na namba za wezi na mpaka maeneo wanayoishi ila sikupata maaada wa kuwakamata mpaka niliamua kuingia front mwenyewe na kuwapeleka kituoni.ilikua ni polisi chang'ombe.
Polisi ni jipu..weka RB namba na kituo hapa.
 
KJN/RB/3208/2016
 
Ngosha akimaliza madudu yote ya kukusanya mapato ya serikali, naona baadae amrudie Mangu pia, Polisi ni jipu tambazi na sugu haswa...Nafikiri Tanzania hamna polisi tukubaliane na hilo kwanza , polisi ni uozo bongo.
 
Tuanzisheni thread hapa jamvini inayo husu polisi na kazi zao jinsi wanavyo tuhudumia. Tueleze mabaya yote tunayo yapata toka kwao na hata mazuri. Tuweke wazi ni kituo gani, na polisi gani, jina ikiwezekana. Hili linaweza kusaidia kufikisha ujumbe kwenye ngazi za juu. Na sisi wananchi tukaelimishana kujua haki zetu na pia kuelimishana pale tunapokua na makosa.
 
pa1
 
Polisi wenyewe kwani wanajali basi? Hawana nia ya dhati ya kumuhudumia mwananchi.
Polisi ya leo iko kwa ajili ya kuhudumia wahindi, waarabu, wachina na wenye pesa chafu
 
Back
Top Bottom