Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,229
Hahahahaaa yaani weweee...... ngoja nije na sindano hapo heehehehehehehehGoja malize choda ya baba....tam kwey kwey aicheeeee
Halafu baada ya sindano kubiringita kunafata. ...
Hahahahaaa yaani weweee...... ngoja nije na sindano hapo heehehehehehehehGoja malize choda ya baba....tam kwey kwey aicheeeee
Sijutii mimba hata maana niliitaka wala sijaipata kwa bahati mbaya.. hata yeye aliitaka pia. Najipanga niwe mwenyewe nikishajifungua, pesa nitadunduliza.. kuhusu kuchukua mkopo ili kulipa ada, sikufanya ili kumfurahisha niliona ni jambo jema maana mimi ndo nina gari ilikua rahisi kupata mkopo fasta kwa kuweka gari rehani.........sijutii mtoto as the matter of fact am happy with the pregnancy, na hicho pia ni kitu kinachonishangaza maana ingekua enzi zangu nishaitoa kitambo
Wewe na espy wako mnatuharibiaUnajua tatizo lipo wapi espy?
Ni hivi:
Huyo mwanaume/ mwanamke ni hamjuani, japo mapenzi humea popote ila mimi naamini mapenzi ni gradually stage!
Pili, kutokana hamfahamiani kila mmoja huficha makucha makali kwa mda mfupi, once utakapoingia kingi imekula kwako!
Mwisho,mitandaoni most of men/women wanachukulia ni sehemu ya residues, yaaan ni ushapigika huko ( hii mostly ni kwa wanawake sasa) umekuja kujifia kifo cha mende mtandaoni[emoji23] [emoji23] ....
NB: kuna baadhi japo wachache wanaume/ wanawake wazuri sana humu ila ukibahatika! ( na uwe na ngekewa kweli kweli)
Utanikoma leo labda usirudi nyumbani!anaijua ofkoz yani leo home patachimbika lakini bora nimetoa la moyoni
mapenzi haya kosi changa moto.angalia nini kina sababisha tokea kwenda chuoSalaam zenu bandugu.. Naandika uzi huu ili angalau nipunguze msongo wa mawazo maana naweza kupasuka kichwa...
Mimi ni mdada nina kazi yangu nzuri tu Alhamdulihah na niko na watoto wawili (usiiulize baba yao alipo hayakuhusu) mnamo mwaka jana 2016 mwezi wa tisa hivi nilipata mkaka humuhumu JF aliyekua anatafuta mwanamke.
Tukapanga tukaonana na kwa mujibu wake akanipenda na mimi nikaona si mbaya nikaridhia mawasiliano yakawa makubwa tu. Huyu mkaka aliachana na mkewe wa ndoa ingawa bado si rasmi legally.
Ana 2 watoto na mmoja anaishi nae mwingine yupo kwa mama yake. Akanisisitiza mno nihamie kwake na wanangu ili tuishi pamoja na kusaidiana life.
Nikaona ni jambo jema maana sikua na nyumba sababu bado najikongoja mno kwenye ujenzi... Nikahamia na wanangu na watoto walimpenda kweli yani maisha yalikua murua kwakweli.
At that time, nilikua na vihela vyangu kidogo nikamsaidia kulipa ada ya wanae ya term ya kwanza takriban laki saba unusu. Na yeye nikamsaidia kumlipia ada ya open university asome Law maana alikua hapendi degree yake aliyonayo nikamlipia semester ya kwanza laki 4 na sabini.
Akaanza chuo na amefaulu first year na anatakiwa awe second year mwaka huu. Matumizi ya ndani tunashare ananipa mshahara wake ingawa mdogo lakini nina hulka ya kushukuru.
Tatizo kubwa ni kunisimanga kuhusu nyumba yake yani its too much, na pia mtoto wake hata nimpemdaje haoni anadai nambagua yani kiukweli huyu mtoto age 14 simbagui, kila nacholeta nagawa mara 3 sijawahi kumkaripia wala kumpiga wala kumgusa.
Hata yeye mtoto hana shida na mimi tatizo ni baba yake. Jana nilienda nao saluni ili mwanangu anyoe, sasa ikawa bonge la bifu eti why na yeye wa kwake sijamnyoa. Kiukweli hakua na nywele mbaya.
Akarudi jioni amelewa na kunipiga juu huku akidai mkewe alikua better kwamba ameruka mkojo amekanyaga mavi na kama vipi nihame chumba nikalale na watoto.
Huyu anataka sex mara 3 kwa siku. Usiku mara 2 na asubuhi ya saa 12 mara moja hadi huwa nachelewa job. Yani sex yenyewe haoimbi, ananivuta tu, "lete **** " anaingiza kwa lazima. Yani sex ni daily.
Akishalewa ni kunitukana kuniita ****** na mpuuzi. Jamani huyu mtu nimetoka kuchukua loan ya laki 4 kumlipia mwanae anayesema nambagua.......
Kiukweli kama ni kuingizwa chaka basi mimi ni chaka bovu. Hapa nilipo nina mimba ya miezi 3 na kwakweli moyoni nimeshamkinia....mungu anitangulie kwenye mipango yangu ya kujikomboa kutoka kwenye huu utumwa.
Tuna mwaka mmoja na miezi kama miwili tangu tuanze mahusiano last year......
Jamani kina dada na kina kaka pia msikurupuke kwenye haya mambo! Go slowly, mimi nilikurupuka sababu ya upweke niliokua nao kipindi hicho.
Asee mi sitaki...haki tena!Ila kuna watu humu wanatamani hio dozi ya mara nne kwa siku! Kweli Mungu hakupi vyote!
Kula Like za kutoshaMtag uyo jamaa kama memba humu jf tumsikilize na yeye ili kama na yeye ana duku duku lake juu yako.
Shemeji usiogopeTena sana yaan ogopa kama Ukimwi.
Mimi nakufahamu na yeye namfahamu.No siwezi kukurupuka kwa mara nyingine...huyu mtu bado nipo nae hadi dakika hii..Na ya kesho hatuyajuwi...je nikimlipua halafu tukayamaliza? nitakua nimefanya nini? normally sipendi kutoa siri za ndani nje, ila hapa inakua rahisi kusema yoteeeee becoz hakuna anayenifahamu mimi wala yeye...
HAYA BANA NASHUKURU....Mimi nakufahamu na yeye namfahamu.