TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

Mitandaoni rate ni kubwa zaidi bwana we!!
Hahaa kama tu huku mtaani bana. Hivi ni watu wangapi humu wanaleta thread za kulia juu ya ndoa zao na walikutana mtaani? Issue sio mmekutana wapi, ila ni umemchagua gani, ukikosea kuchagua itakula tu kwako. Huyo mbaba anayelalamikiwa, hivyo ndivyo alivyo, ndiyo mapungufu/udhaifu wake, unfortunately kwa mdada yeye hawezi kusustain na udhaifu wa mtu aliyemchagua. Ingekuwa ni udhaifu ambao huyu dada anaweza kuishi naye, asingeleta huu uzi. Wakati mwingine tatizo sio mtu, ila ni choices zetu ambazo haziendani na mtu tunayemtaka. Cha msingi ni kupata mtu unayeweza kumbebea madhaifu yake, kwa sababu awe wa mtaani, awe wa online, na yeye ana udhaifu wake, kama binadamu mwingine yoyote yule.

Labda tatizo la humu ni kwamba sometimes watu hawapo serious, anaweka tangazo kujoke tu aenjoy watu watakaomfuata pm basi. Au ndo yakuleta feedback " nimeonana na fulani, hiyo shape yake", utoto tu ambao hata huku mtaani upo. Mtu mnaachana anakutangaza hadi unabadili njia ya kwenu haha
 
Bado haujanielewa hivyo tulia.
 
It's really surprising. The only difference ni kwamba huku hamuonani "physically" kwanza, while kwa mtaani mnaonana physically then ndo mengine yanaendelea. Hivi me nimekutana na mtu barabarani, tukabadilishana namba, what's the guarantee that he is a good guy? Nisipospend time naye, ntajulia wapi mapungufu/tabia zake au kwa sababu tu we met offline basi he is a good guy? Ukikurupuka hata kama mtu umekutana naye kanisani, utalia tu. Maana siku 2 ushamove in, then ndo unaanza kuona mapungufu yake.
Sema it feels good when love finds the both of you naturally, kuliko hii ya kusearch for love.
Afu ulimwengu umebadilika pia, humu ni meeting place kama kwingine tu. Na kuna watu circle yao kubwa ni humu online kuliko hata offline. So tuache tu watu watafute ushirikiano humu lol, kuna type za watu bila social networks tusingeonana kabisa, utakutana nao wapi kwanza?
Mtandaoni ni meeting point tu, mengine mnamaliza face to face. Hamna tofauti kama umekutana na mtu kwenye bus,street mkabadilishana namba.
 
Tena ukifuata watu kwenda ibadani Utapotea
Watu Malaya mbwa then kila Ijumaa na jumapili ibadani

Mke au mume kupata bora ni Kazi ngumu sana

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Wacha we!!!
Unakaa ukisubiria nini labda!!
Hamna, vumilieni kidogo bana! Ni vijimambo vya ndoa. Yaani kweki kuambiwa hama chumba kalale kwa watoto tayari ushachulia ni simango coz nyumba ni yake, duuh!! Wengine mbona wanaambiwaga hivyo hata kama nyumba ni ya mwanamke, au wamepanga na analipia kodi mwanamke
 
Pole sana na achana naye utapata stress mbaya kuendelea kuishi na mtu anayekusumbua, huyo mtu kama aliweza kumwacha mke wake kuja kwako, jiulize amewaacha wanawake wangapi, huyo si mtu mzuri bali ni mchafuzi.
 
No siwezi kukurupuka kwa mara nyingine...huyu mtu bado nipo nae hadi dakika hii..Na ya kesho hatuyajuwi...je nikimlipua halafu tukayamaliza? nitakua nimefanya nini? normally sipendi kutoa siri za ndani nje, ila hapa inakua rahisi kusema yoteeeee becoz hakuna anayenifahamu mimi wala yeye...
Yaani kwamajibu yako inaonesha nijinsi gani unamalengo nahuyo jamaa sema2 jamaa anazingua. Hapo kwenye kukuomba k kibabe ndio sijapafurahia kabisa yaani nibora angekuwa anakutia bao hizo 3 ila akawa anakuomba kistarabu ikibidi hata kukubembeleza kabisa nainawezekana alipoachana namke wake alikuwa ananunua machangu doa nandiomana bado anaendelea kutumia kauli zakibabe
 
Hamna, vumilieni kidogo bana! Ni vijimambo vya ndoa. Yaani kweki kuambiwa hama chumba kalale kwa watoto tayari ushachulia ni simango coz nyumba ni yake, duuh!! Wengine mbona wanaambiwaga hivyo hata kama nyumba ni ya mwanamke, au wamepanga na analipia kodi mwanamke
Kwa nini asingehama yeye kama amekereka sana? Wanaume wengi mna hako kaubinafsi ka "nyumba yangu". Mbona ikiwa ni nyumba ya mke hukosei kusema "toka kwenye nyumba yangu", sema tu ukute zubeda lako lipo nje
 
Pole sana my dear kama vipi jipange tu uishi kivyakovyako na Watoto wako.
 
Pole sana. Kumbe humu kuna wake?mi nilikuw sijajuwa
 
Duu pole sana mdada. Sasa unavumilia nini?? Na unasema kabisa jamaa alioa na wakatengana kididzaini not official, huoni kama unapoteza muda kukaa na huyo mbaba? Je ikitokea warudiana na mkewe?? Huoni kama utakua umepoteza wakati? Bora mkewe angekua amekufa. Mm nakushauri usepe huyo sio mumeo aliekuoa mkaapa mbele ya altare.
 
Hamna, vumilieni kidogo bana! Ni vijimambo vya ndoa. Yaani kweki kuambiwa hama chumba kalale kwa watoto tayari ushachulia ni simango coz nyumba ni yake, duuh!! Wengine mbona wanaambiwaga hivyo hata kama nyumba ni ya mwanamke, au wamepanga na analipia kodi mwanamke
Hahahaaa!! Huo uvumilivu mfundishe Heaven Sent kwakweli. Mie HAPANA.
 
Duu pole sana mdada. Sasa unavumilia nini?? Na unasema kabisa jamaa alioa na wakatengana kididzaini not official, huoni kama unapoteza muda kukaa na huyo mbaba? Je ikitokea warudiana na mkewe?? Huoni kama utakua umepoteza wakati? Bora mkewe angekua amekufa. Mm nakushauri usepe huyo sio mumeo aliekuoa mkaapa mbele ya altare.
Umeona eenhe!!!
 
Back
Top Bottom