😎😎😎Hahahahaaa! Sasa ulivyotoa ulimi utadhani unalamba dawa.A-,maize-ng!
benjamin mkapa ilizingua grorofa ya kumi na tano, ilishuka kasi ya ajabu mpaka chini, afu ikapanda tena mpaka juu, ikashuka kistaarabu, nilivyoshuka nikaghairi nilichokuwa nimekufuata hapo
Nimecheka utafikiri jambo zuri mkuu, hahahaaa pole sanabenjamin mkapa ilizingua grorofa ya kumi na tano, ilishuka kasi ya ajabu mpaka chini, afu ikapanda tena mpaka juu, ikashuka kistaarabu, nilivyoshuka nikaghairi nilichokuwa nimekufuata hapo
Mkuu wangu acha utani.Yaani unataka kumteka Maxence Melo live and direct?
😳😳😳Mkuu wangu acha utani.Yaani unataka kumteka Maxence Melo live and direct?
Hii inaitwa kodokodo style. Inatumika zaidi kumvamia adui akiwa kasinzia.I'm "corn-fused"!
Ni jambo jema sana mkuu, ni vyema sasa wasanifu wa technolojia ya elevators wangelifikiria hilo la ventilationPole mleta mada, na shukrani kwa kutukumbusha.
Hivi milango ya lif haitakiwi na ventilation system?
😡😡😡Hii inaitwa kodokodo style. Inatumika zaidi kumvamia adui akiwa kasinzia.I'm "corn-fused"!
Hiyo kijeshi tunatumia kuulizia 1.5/trillions ilipo.
Unamzungumzia yule BINGWA WA TAHARUKI TANZANIA, Hussein issa Tuwa wa Mkimbizi ya Tiga Mumba?Umenikumbusha hadithi ya MDUARA ilikuwa inatoka kwenye gazeti la Sani miaka ya nyuma mwandishi akiwa Hussein Tuwa
Sent using Jamii Forums mobile app
😕😕😕Hiyo kijeshi tunatumia kuulizia 1.5/trillions ilipo.
1.5T!!!!!!😡😎😳Hiyo kijeshi tunatumia kuulizia 1.5/trillions ilipo.
Yule Hussein Tuwa aache uhuni wa kunakili scenes za James Hadley Chase.Unamzungumzia yule BINGWA WA TAHARUKI TANZANIA, Hussein issa Tuwa wa Mkimbizi ya Tiga Mumba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unawajua hao watu wawili vyema?Yule Hussein Tuwa aache uhuni wa kunakili scenes za James Hadley Chase.
Hiyo huwa inatumika kuuliza kama hela ya matibabu mtanitumia Brussels au vipi?
Ingekuwa na faida
Hapo kwenye kutoa ahadi kedekede umejaribiwa. Ni muhimu utimize hizo ahadi.Hahahaa mkuu, alivyokuja kunikumbatia kweli nilimuona ila akili yangu nadhani pamoja na ya kwake haikua huko unapoelekea wewe, maana dada wa watu alidhani malaika mtoa roho kaja kuchukua roho yake, sasa labda akinisogelea mimi naweza kumfukuza huyo ziraeli mtoa roho. Wakati huo na mimi akili yangu inatoa ahadi kedekede kwa Muumba pindi akiniokoa na janga hilo nitamfanyia nini yeye Mungu wangu. Nilijua dada anataka kupoteza fahamu baada ya kufunguliwa milango