Kupitia maandishi ndipo tulipojifunza ustaarabu tulionao sasa. Haijalishi andiko linakuvutia wewe au la, ila elewa kila andiko liwe la kipuuzi au la hekima lina impact kwenye jamii yoyote. Wengine wanavutiwa na maandiko matakatifu na wanayafuata ila wanajishuhulisha na shuhuli za kuzalisha kipato, maandiko yana sehem yake na umuhimu wake. Wengine hayajui na wala hawana mpango wa kuyajua maandiko yako uyaonayo bora na yanakuletea kipato na rizki mezani na wanaishi vyema pengine hata kukushinda wewe.
Nimekuuliza wawafaham hao jamaa wawili nikimaanisha kupitia maandiko yao kwani umeonyesha kutomuunga mkono mmoja wao.
Sent using
Jamii Forums mobile app