petro faustine
Member
- Oct 2, 2014
- 74
- 6
Kwa wale form six leaver kama we ni mtu mzima na akili zako timamu na unapenda elimu usije logwa uka chagua St Joseph, hivi vyuo vina matatzo sugu.
Sio kama naongelea ushabiki noooo mi ni mwanafunzi wa pale St. Joseph Arusha
Naombeni niwakumbushe tena wadogo zangu kama kweli una jali maisha yako na unapenda future yako usije uka apply chuo chochote cha St. Joseph, hakuna kona ya nchi isiojua uozo wao, utaajiriwa wapi kwenye huu ulimwengu wa wasomi haya ndo matazizo sugu:
1. Chuo kutokuwa na prospectus
2. Chuo kutumiaa carriculum ya india ambayo hufanya watu waimbe nyimbo chekechea na kuhesabu visoda
3. Chuo hakina university chatter
4. Chuo hakina special exams
5. Kuitana majina na attendence ina yes na no tu hakuna ruhusu hata km uumwe..
6. Malecture hawana vigezo ..mtu anakuja kumsalimia mume wake anapewa kipindi
7. Mtu wa HGE na EGM ana uwezo wakusoma physics
8. Usajili wa kozi za education hadi leo hauja be approved na TCU
8. Ada kubwa zaidi ya elimu inayo tolewa
9. Ku treAtiwa kama watoto kuingia darasanikwa ruhusa na kutoka nje kwa ruhusa
10. Chuo kutotambua uwepo wa dini ya kiislamu
NAOMBA UKIPATA UJUMBE HUU MWAMBIE NA MWENZIO ILI TUOKOE KIZAZI KINACHO KUJA NA HUU UOZO WA ST JOSEPH