Tahadhari kwa wanaochagua vyuo vya St. Joseph

Tahadhari kwa wanaochagua vyuo vya St. Joseph

Unajua tunakubali kabisa kama st joseph Kuna matatizo ila sasa mtoa mada Kua specific kozi fulani na college fulani ya st joseph ila sio college zote za st joseph,na muweke wazi ayo mapungufu ili watu wajue msipotoshe jamii kwamba kozi zote,mbona mbezi hakuna shida wanasoma vizuri tu.
 
Alafu ukiwa unachangia mada Kua makini Mfano mkuu wangu petro faustine,wewe Kuna uzi kama huu wa st Joseph umeanzisha wewe alafu Kwenye uzi huu umedai una kaka yako amepata gpa 4.3 anakosa kazi,swali langu je kaka yako uyo mpaka wewe unajiunga st joseph hajakuambia matatizo ya st joseph,Kua mkweli kidogo mkuu.
 
Kuna tofauti kati ya elimu bora na bora elimu,napita tuuuuu,ya ngoswe muachie mazoea
 
mi sitetei..ila.najaribu kukuelewasha..
Mimi nawafaham wengi saana wamemaliza st. Joseph ya dar.

sikia we jamaa, sisi tupo st joseph.. The issue ni kwamba, hiki chuo wamechemka kwa faculty ya education na agriculture. E bhana ee kama huamini njoo. Karibu sana
 
sikia we jamaa, sisi tupo st joseph.. The issue ni kwamba, hiki chuo wamechemka kwa faculty ya education na agriculture. E bhana ee kama huamini njoo. Karibu sana

Umesikia labda wewe hujui historia ya hicho chuo ndani ya tanzania..
mimi naijua historia ya hicho chuo toka kimeingia tanzania.

Hizo course za agriculture na education ni mpya kwa hicho chuo.

Huwezi ukaanzisha course leo afu utegemee utapewa approve na tcu siku hiyoyo hasa kwa hivi vyuo vipya.
Chuo kinachofanya kinaanzisha course huku kikiendelea kufatilia approve ya tcu au nacte.

Kama hizo course zina matatizo. Be specific kwa hizo course.


Lakin usiwaambie watu kuwa chuo hiko hakifai kabsa.
 
Tanzania majungu sijui yataisha lini. Pigeni shule vijana, Wewe kama umeshindwa shule usitafute sababu ya wenzako pia washindwe. Watu wamesoma hapo na wamemaliza wapo kwenye soko la ajira huko wana pambana na kazi za kujenga taifa. Mtoa mada jipange upya.

Mimi sio kwamba nabeza chuo hiki, bali nataka nijue zaidi kuhusu chuo hiki watu wameanzisha mada za kukiponda na wanakibeza bila point na ushahidi, hapa nataka walete hoja zenye mashiko ili watu waelewe na si kubeza bure bila sababu za kueleweka, ikiwa wakikosa sababu tutawapuuza Mimi kunamtu nataka nimpeleke hapo collage ya agriculture.
 
Ndugu yangu mpeleke ni moja ya vyuo vizuri take it from me. Mapungufu kila sehem yapo. Muhimu katika vyuo vya St Joseph ni nidhamu kama upo seminary.
 
si ndo wanafunzi wA pale st joseph arusha...tumefanya hivi ili wadogo zetu wasije kuumia km sisi..na paka saiv wanafunzi zaidi ya 100 wameacha chuo kwa maana ya kuchukua barua za termination na ku apply tena first year..tume toa elimu ya kutosha ...hatuna deni so unaetaka kuapply apply hakuna anae kukataza.. kwaherini
 
ina niuma sana kuona wanao potosha watu niwale walio soma vyuo vikubwa km udom na udsm then wana washaur watu wakasome st joseph ...try ku tafuta member yoyote wa st joseph kitivo cha elimu utapata data kamili
 
si ndo wanafunzi wA pale st joseph
arusha...tumefanya hivi ili wadogo zetu wasije
kuumia km sisi..na paka saiv wanafunzi zaidi ya
100 wameacha chuo kwa maana ya kuchukua
barua za termination na ku apply tena first
year..tume toa elimu ya kutosha ...hatuna deni
so unaetaka kuapply apply hakuna anae
kukataza.. kwaherini
 
thnkx mtoa mada wambie kama ni kwel coz inauma mi had leo npo home yamenipata KIU Napta 2 rah ya ngoma ingia ucheze
 
wote wanaobisha na kuamua kutetea vitu wasivyovijua hawajielewi kabisa. Uje natamani hata nimtukane mtu humu aiseee
 
Sasa ww mtoa Mada unamaanisha st Joseph zote n mbovu na maana hiyo basi umefika zote
 
Mtoa mada shule imemshinda ana shida zake binafsi...pimbi kweli huyu analaumu chuo matatizo ya kwake...
 
hanzo ni site ya tcu
SN
Name of the InstitutionApproved AcronymType of UniversityHead OfficeRemarksRegistration Number
Ardhi UniversityARUPublicDar es Salaam-CRI/004
Catholic University of Health and Allied SciencesCUHASPrivateMwanza-CR1/022
Eckernforde Tanga UniversityETUPrivateTangaAudited in November and required to address shortcomings in its programmes and management structureCR1/021
Hubert Kairuki Memorial UniversityHKMUPrivateDar es Salaam-CR1/005
International Medical and Technological UniversityIMTUPrivateDar es Salaam-CR1/006
Katavi University of AgricultureKUAPublicKataviPermission to enrol students is not yet issuedCR1/025
Mbeya University of Science and TechnologyMUSTPublicMbeya-CR1/026
Mount Meru UniversityMMUPrivateArusha-CR1/012
Muhimbili University of Health & Allied SciencesMUHASPublicDar es Salaam-CR1/015
Muslim University of MorogoroMUMPrivateMorogoro-CR1/017
Mzumbe UniversityMUPublicMorogoro-CR1/011
Nelson Mandela African Institute of Science and TechnologyNMAISTPublicArusha-CR1/016
Open University of TanzaniaOUTPublicDar es Salaam-CR1/003
Sebastian Kolowa Memorial UniversitySEKOMUPrivateTanga-CR1/027
Sokoine University of AgricultureSUAPublicMorogoro-CR1/002
St. Augustine University of TanzaniaSAUTPrivateMwanza-CR1/008
St. John's University of TanzaniaSJUTPrivateDodoma-CR1/018
St. Joseph University in TanzaniaSJUITPrivateDar es Salaam-CR1/023
State University of ZanzibarSUZAPublicMjini Magharibi-CR1/010
Tanzania International UniversityTIUPrivateDar es salaamPermission to enrol students is not yet issuedCR1/028
Teofilo Kisanji UniversityTEKUPrivateMbeya-CR1/014
Tumaini University MakumiraTUMAPrivateArusha-CR1/007
United African University of TanzaniaUAUTPrivateDar es Salaam-CR1/024
University of ArushaUOAPrivateArusha-CR1/013
University of BagamoyoUoBPrivateDar es Salaam-CR1/020
University of Dar es SalaamUDSMPublicDar es Salaam-CR1/001
University of DodomaUDOMPublicDodoma-CR1/019
Zanzibar UniversityZUPrivateKusini Unguja-CR1/009
 
Back
Top Bottom