The dream
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 999
- 997
St. JOseph kampasi ya Arusha, Makambako, Songea na Dar kwa kozi za kilimo,biashara, uhasibu, kompyuta na ualimu sio vyuo bali ni maduka ya wahindi kwa ajili ya kujipatia kipato katika nchi yetu.
Hivi vyuo vina matatazo ambayo wao kama wao wahindi hawawezi kuyamaliza hata kama wapewe miaka 100,cha muhimu ni wanafunzi mnaomba vyuo TCU chochonde msije kuvijaza maana ile kitendo cha kukiandika kwenye option zako watu wa TCU watakupangia st. Joseph hata kama ilikua ni option yako ya mwisho.