real lyf 2015
Senior Member
- Aug 13, 2015
- 166
- 27
Sijaona point hata moja ya msingi hapo..
Asiwadanganye huyo. St joseph ipo vizuri.
Wengi wamesoma hapo na wanakula maisha fresh tena serikalini.
Ofcourse kuna baadhi ya course mpya hazijapata usajili, ila nyingine za zamni zipo.powa.
Mbona kuna ma inginia kibao wanapeta na degree zao za st. Joseph