HABARI MUHIMU
Hakuna jambo la muhimu kwa mwanadamu, na
katika usitawi wa nchi kama ELIMU.
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo kiitwacho
ST.JOSEPH UNIVERSITY IN TANZANIA(ARISHA
CAMPUS).
NDUGU ZANGU Watanzania hiki sio chuo kikuu
bali ni GENGE La watu kujikusanyia fedha za
walipa kodi wa Tanzania.NASEMA HIVI KWA
SABABU ZIFUATAZO;
1-Chuo hiki hakina prospectus(Yaani nyaraka
inayoonesha wahadhili waliopo,masomo
wanayotakiwa kufundishwa wanafunzi kwa muda
wao wote watakao kuepo chuoni hapo n.k)
2-Chuo hakina syllabus(Yaani mtaala )Matokeo
yake wanafunzi wanafundishwa masomo tofauti
na chuo chochote hapa Tanzania.
NB:KIMSINGI "PROSPECTUS" NA "SYLLABUS"
NDIVYO VINAVYOIFANYA TAASISI YA ELIMU
IITWE CHUO KIKUU.KAMA HAYO MAMBO MAKUU
HAYAPO,JE HIKI CHUO KILISAJILIWA KWA
MISINGI IPI NA KWA SHERIA ZIPI?
3-Chuo hiki hakina UNIVERSITY CHATTER(Yaani
mkusanyiko wa maandishi unaoonesha ni namna
gani chuo kimesajiliwa nk)
4-Chuo hiki hakitambuliki na BALAZA LA VYUO
VIKUU TZ (TCU).Kwani ktk orodha ya vyuo
vikuu,"colleges" hakipo.Jilidhisha tembelea
internet.
5-Chuo hiki kinatoa kozi ziitwazo;"BACHELOR OF
SCIENCE IN EDUCATION WITH
MATHEMATICS,PHYSICS,CHEMISTRY,BIOLOGY or
COMPUTER."Kozi hambazo hazifundishi na chuo
chochote hapa Tanzania na wala hazijahakikiwa
na Balaza la Vyuo Vikuu Tanzania.
Ndugu zangu Watanzania haya ni matatizo
makuu na mengine mengi tutaendelea
kujulishana.
Mimi na ndugu zangu ktk masomo tupo nje ya
chuo hiki takribani MIEZI 3 TUKIISHINIKIZA
SELIKARI ITUTOE KTK CHUO HIKI,NA TIKIWA
TAYARI KUANZA MWAKA UPYA.
EWE MDOGO WANGU,KAKA NA DADA ZANGU
USIJE UKAJIROGA KWA KUJIUNGA AU
KUMSHAURI MTU AJIUNGE NA CHUO HIKI
MAANA KUFANYA HIVYO NI KUIANGAMIZA
"FUTURE" yako.
Au wasiliana nami kupitia;0764285020 au
kibajideo@gmail.com