Huyu leba yake kwa mazoezi hayo itakua rahisi sana kama si hatari...
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Mimba kubwa hivyo kuweza kuwa flexible kiasi hicho ni bomba sana, siku ya kujifungua anaingia na kutoka tu kama hakutakuwa na complications zozote. Kitumbo kimechomoka kwa mbele kama nshale lol!!!! Njemba huyo!!!!
Wanawake na vitambi vyao....
I agree with you 100%. Lakini nadhani not everyone gets same experience. Wakwangu, alipokuwa na mimba ya miezi 8 tu hata kwenda Hospitali ilikuwa kasheshe. Wanawake wengine wajawazito huvimba mwili mpaka unadhani ni mtu mwingine kabisa. Huyu mwanadada naona all the weight is on her belly tu. Gorgeous!!!!Wataalamu wanasema mama mjamzito akifanya mazoezi hususan last trimester kuna faida nyingi sana
1)Masaa 2 hupungua ya uchungu yaani kama alikua aumwe masaa 8 ndio ajifungue basi ataumwa 6.
2)Inapunguza chance of a c section kwa asilimia 30
Na faida nyingi...
Ila huyo mwanamke kiboko...
Wakitupiamo na tutai twa kishikaji..wanapendezaje..?..very funny...thanks God kwa kuniumba mwanaumeNa wanavopendeza na mwendo wao wa kujisukuma lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums