Tahadhari kwa wakina mama wenye mimba:usijaribu hii kitu

m_kishuri

JF-Expert Member
Jan 27, 2010
1,484
372
Mary Helen Bowers is about to give birth to her first child, and has been dancing through pregnancy with unbelievable agility and breathtaking grace.
o-PREGNANT-BALLERINA-900.jpg
o-MARY-HELLEN-BOWERS-900.jpg
o-PREGNANT-BALLERINA-3-900.jpg
 
Halafu ni tumbo la miezi 9! Duh. Sio utani. I am surprised this is even possible. :A S-baby:
 
Mimba kubwa hivyo kuweza kuwa flexible kiasi hicho ni bomba sana, siku ya kujifungua anaingia na kutoka tu kama hakutakuwa na complications zozote. Kitumbo kimechomoka kwa mbele kama nshale lol!!!! Njemba huyo!!!!

Huyu leba yake kwa mazoezi hayo itakua rahisi sana kama si hatari...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mimba kubwa hivyo kuweza kuwa flexible kiasi hicho ni bomba sana, siku ya kujifungua anaingia na kutoka tu kama hakutakuwa na complications zozote. Kitumbo kimechomoka kwa mbele kama nshale lol!!!! Njemba huyo!!!!

Wataalamu wanasema mama mjamzito akifanya mazoezi hususan last trimester kuna faida nyingi sana

1)Masaa 2 hupungua ya uchungu yaani kama alikua aumwe masaa 8 ndio ajifungue basi ataumwa 6.

2)Inapunguza chance of a c section kwa asilimia 30

Na faida nyingi...

Ila huyo mwanamke kiboko...
 
Mtoto ataanza Break Dance bado mdogo. 9 month na mama bado anapiga misambi, sio utani.
 
Wataalamu wanasema mama mjamzito akifanya mazoezi hususan last trimester kuna faida nyingi sana

1)Masaa 2 hupungua ya uchungu yaani kama alikua aumwe masaa 8 ndio ajifungue basi ataumwa 6.

2)Inapunguza chance of a c section kwa asilimia 30

Na faida nyingi...

Ila huyo mwanamke kiboko...
I agree with you 100%. Lakini nadhani not everyone gets same experience. Wakwangu, alipokuwa na mimba ya miezi 8 tu hata kwenda Hospitali ilikuwa kasheshe. Wanawake wengine wajawazito huvimba mwili mpaka unadhani ni mtu mwingine kabisa. Huyu mwanadada naona all the weight is on her belly tu. Gorgeous!!!!
 
Back
Top Bottom