Tahadhari kulala na watoto

Tahadhari kulala na watoto

mwl

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
1,101
Reaction score
914
Baba alishtuka usiku kwenda haja aliporudi akapunguza kandili vzr allipopanda kitandani kanga ikamdondoka, mtoto alielala chini akasema haya kwa hamaki:"Mama baba apanda na mavi" wee lala.
 
naomaba unipe tafsiri ya hapo kwenye red, kama sijaelewa vile!!!
 
Kwa hiyo aliona vyombo vimening'inia :biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
kabweka huyo mtoto akiiona avatar yako cjui atasema baba kapanda kitandani na tenga la nyanya bila shaka
 
Back
Top Bottom