Mpaka jioni hii kuna maendeleo
Aisee.Sisi tunawakamataga. Huo mchezo umeanza sana tena unatokea kwa bank tellers wengine wanakuunganishia fake
Sisi tunawakamataga. Huo mchezo umeanza sana tena unatokea kwa bank tellers wengine wanakuunganishia fake
Mshana mimi sikupi pole wewe ni mfanya biashara wa kati SME ambaye hujui matumizi sahihi ya taasisi au mifumo ya fedha kwa nini hukuwaambia wa deposit bank then wakupe deposit slip? million 4 ulizihesabu kwa mkono? ungekuwa na counting machine inauwezo wa ku detect fake notes. Ulishindwa hata kutumia local techniq..... unaikunja note mkononi then unaichia isipojikunjua ni fake.
Sasa unalipwa cash 4m then anakuja mteja mwingine 5m then jioni unavamiwa unaanza kulia lia na police. Pia kwa nini kama issue iko kwenye upepelezi unaiweka kwenye mitandao? uchunguzi wako utafanikiwa?
Sisi tunawakamataga. Huo mchezo umeanza sana tena unatokea kwa bank tellers wengine wanakuunganishia fake
Sikumoja kuna mbaba kaenda kwenye ATM kutoa hela jina la BANK kapuni alitoa hela kama 20,000Tsh kati ya hizo hela elfu kumi ilikua yabandia ikabidi aende nayo direct hadi ndati(BANK) nakuwaambi, alichojibiwa anajua yeye basi akawaambia ingawa mmekataa kunielewa ila nawapa tu taarifa kuweni makini na kazi yenu kuna mchezo unafanyika hapa.Hata kwenye bank zipo sana izo ela bandia.
Ukishajua ni feki ina maana wameshindwa kuzifoji... ila mpokeaji hakuwa makini wakati anapokea. BTW kwanini watu hawatumii mashine za kuhakiki fedha. Mbona naona sehemu kama Ulaya na Marekani ukilipa cash kwa kutumia noti kubwa ni lazima waipitishe kwenye counterfeit Dectectors
[FONT=century
gothic]Kituko kinachofanyika na nchi hii hakuna sehemu nyingine
duniani kwani hadi sasa mimi naziona noti zote tunazotumia ni BANDIA
nikiwa na maana ifuatayo
- Tuna noti za 10,000/= na 5,000/= tunazoaminishwa ni halali za aina 4
tofauti kwa ukubwa na uengenezwaji kwani alama zinafanana lakini
zimetofautiana mkao katika noti hizo
- Tuna noti na 2,000/= 1,000/= na 500/= za aina 3 tofauti
tunazoaminishwa ni halali kwani zinatofautiana ukubwa na zingine
zinachakaa haraka kutofautisha na zingine.
Kwa hiyo hata hizi tunazoaminishwa ni halali ni feki pia, na tukio hili
la kubadilisha fedha ndio lililotajirisha watu wakati ule kwani
waliingiza noti bandia nyingi na ndipo utajili walipoupata akina
fulani.[/FONT]
Anakonda kina nani hao?ninong'oneze.