Tahadhari Kubwa kwa watu wote

sixgates

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
3,979
1,662
Kwa watu wote, wanademokrasia na hata wale wahafidhina tufikie mahali tuweze kuzitenganisha propaganda na media spinning zinazoendelea kwa sasa kuhusu issue ya Zitto na chadema.

Natoa tahadhari kubwa sana hapa jamvini na nitasambaza hizi taarifa kwa vyombo vingine vya habari na social media nyingine.

Kuna baadhi ya watu wanaojiita "TEAM ZITTO" ambao pengine kwa nia njema ama kwa maksudi tu wanaharibu Taswira ya Mh Zitto Kabwe kwa kujaribu kutembea katika jina la Zitto kutoa Matamko, maneno na kuratibu mikutano isiyo rasmi kwa kusema wao ni TEAM ZITTO. Imebainika katika kufanya hivi sio tu inamchafua Zitto bali ina lengo la kumchonganisha Ndg Zitto na aidha viongozi wa chadema, kamati kuu ya chama, wapenzi,mashabiki wa chadema, marafiki na hata wananchi. Ajenda zinazoibuliwa na kikundi kinachojiita TEAM ZITTO ni tofauti na zile Zitto alizoziainisha mbele ya vyombo vya habari.

TUHUMA ZITTO ALIZOZIAINISHA KWA VYOMBO VYA HABARI
- Kutokushiriki kampeni za urais
- kutoshiriki operation za chama
- ukaguzi wa vyama
- posho za vikao

Zitto hajazungumzia lolote kuhusu Ukanda, Ukabila, ieleweke na iwe wazi tatizo aliloliainisha ni mapambano ya kukuza demokrasia ndani ya chama, mapambano dhidi ya wapenda demokrasia dhidi ya wahafidhina.

Kwa namna yoyote Zitto Kabwe asihusishwe na taarifa tofauti na hizi, asihusishwe na baadhi ya maandamano, asihusishwe na mikutano inayoratibiwa na wanaojiita TEAM ZITTO. Kama kuna taarifa zozote ambazo zinamuhusu zinukuliwe kutoka kwake moja kwa moja na sio mkusanyiko wa soga zisizo za msingi wowote.

Mwisho, kwa wale wote wapenda demokrasia watambue nyakati ngumu ni sehemu ya maisha ya binadamu, Zitto amekubali kufuata taratibu zote za chama kuhakikisha anahitimisha mtikisiko huu kwa hekma na kwa uvumilivu mkubwa.

Sixgates
DSM
 
...................

Wewe ni 'msemaji' wa Zitto, au, wewe ndio Zitto mwenyewe...???
 
Sixgates, Zitto kwisha habari yake!!! Acha ashindiliwe tu maana naye alichosha sana watu!! Team Zitto ndo immalize kabisa!!! Bora angekaa kimya wala singeongea na media, sasa watajitokeza Team Zitto kibao kwa lengo la kuwayumbisha!! Cha msingi CDM iko imara na imejipanga!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nakuelewa sana Sixgates ila pia nawaelewa zaidi hao wanaojiita Team zitto.watu wengi wameumizwa sana na wanajua mengi ambayo Zitto ameshindwa kuyasemea japo anayajua ikiwemo suala la ukanda hivyo baada ya kuona maonevu yamezidi wameamua kusimama kidete kutetea ukweli ikiwemo kuwafahamisha wananchi wote wenye akili za kuelewa na kufanya maamuzi.
Zitto hata kwa kisu asingeweza kukubali au kulisemea suala la ukanda kutokana na kuwemo katika uongozi uliokuwa unaipinga hoja hiyohoyo mbele ya propaganda za CCM japo ndani ya moyo wake na ukweli wa wazi anajua jinsi alivyoathirika na anavyoendelea kuathirika kwa suala hilo.
Team Zitto ni watu wanaomwamini zitto na lolote watakalofanya ni kwa mapenzi yao.Wanaweza kuendelea tu wala haina madhara

Mmeanza kurukana ....!????'

Kwa kuongezea hapo, ni kwamba wameanza kuparurana wenyewe kwa wenyewe...!!
Sijamuona Ritz leo..Vipi...??
Hii inaonyesha kuwa hali ni ngumu kwa wafuasi wa Zitto.
Ikumbukwe kuwa kabla ya kusimamishwa uongozi kwa Zitto, wana-CCM wote wa JF walikua wanaungana mkono katika kila thread na post walizoandika.
Sasa, wanalaumiana na kugeukana baada ya 'kumponza' 'mwenzao' Zitto.
Well, Zitto is out, and gone forever....
Leo Zitto yuko facebook anamkumbuka Amina Chifupa...!!!
 
Nakuelewa sana Sixgates ila pia nawaelewa zaidi hao wanaojiita Team zitto.watu wengi wameumizwa sana na wanajua mengi ambayo Zitto ameshindwa kuyasemea japo anayajua ikiwemo suala la ukanda hivyo baada ya kuona maonevu yamezidi wameamua kusimama kidete kutetea ukweli ikiwemo kuwafahamisha wananchi wote wenye akili za kuelewa na kufanya maamuzi.
Zitto hata kwa kisu asingeweza kukubali au kulisemea suala la ukanda kutokana na kuwemo katika uongozi uliokuwa unaipinga hoja hiyohoyo mbele ya propaganda za CCM japo ndani ya moyo wake na ukweli wa wazi anajua jinsi alivyoathirika na anavyoendelea kuathirika kwa suala hilo.
Team Zitto ni watu wanaomwamini zitto na lolote watakalofanya ni kwa mapenzi yao.Wanaweza kuendelea tu wala haina madhara

FirstLady ni kweli kabisa. Yapo mengi sana ambayo Zitto amejikaza kisabuni na asingependa kuyatamka, kama yeye hapendi kuyatamka sii vyema watu kutumia jina lake kuya adress hayo mambo yanaathiri mwenendo mzima wa hii issue inayoendelea, na sii aina ya siasa zake. Kama unavyojua zitto ni mtu makini sana anajadili mambo mazito ya kuliiunganisha taifa. Hoja za ukabila, ukanda tuwaachie wengine ila kwa sasa Zitto hajazisema.
 
Last edited by a moderator:
Umeielewa taarifa hilo linatosha. Asante mkuu.

Umeeleza kwamba chochote kinachomhusu Zitto kinukuliwe kutoka kwake moja kwa moja na si kutoka kwa wapiga soga zisizo na msingi wowote. Je, wewe ni Zitto? Au mpiga soga kama Team Zitto?
 
Sixgates, Zitto kwisha habari yake!!! Acha ashindiliwe tu maana naye alichosha sana watu!! Team Zitto ndo immalize kabisa!!! Bora angekaa kimya wala singeongea na media, sasa watajitokeza Team Zitto kibao kwa lengo la kuwayumbisha!! Cha msingi CDM iko imara na imejipanga!!!

Mkuu Zitto ni kiongozi wa kitaifa, sio tu mbunge wa kg kaskazini. Anatambua kuwa kuchanika kwa jamvi sio mwisho wa mazungumzo.
 
acha kumbwela mbwela wewe...wewe pia team zitto...tumeawashtukia tumewapiga chini haya na nyie mlete vipingamizi kuwa sio wahaini...

Acha kuropoka mbwiga wewe. Chadema mnatunga makundi mnajiita team zito kumchafua
 
Umeielewa taarifa hilo linatosha. Asante mkuu.

Wapi Team Zitto wa JF....???

sixgates umechelewa saaaana kuwanyamazisha wenzako.
Ungeanza 'kampeni yako tangu mwaka jana, ila baada ya 'Team Zitto' kwenda out of control, ndio umeshtuka...??
Kumbuka, hii hii team zitto ilipokuwa inampigia debe zitto kwenye mambo yake na 'waraka' wake yeye na wenzake ulikaa kimya..!!!
Sasa unahaha kumuokoa Zitto...??
Too late, Chadema imeshashika 'shoka' mkononi.....

images
 
Last edited by a moderator:
Kwa watu wote, wanademokrasia na hata wale wahafidhina tufikie mahali tuweze kuzitenganisha propaganda na media spinning zinazoendelea kwa sasa kuhusu issue ya Zitto na chadema.

Natoa tahadhari kubwa sana hapa jamvini na nitasambaza hizi taarifa kwa vyombo vingine vya habari na social media nyingine.

Kuna baadhi ya watu wanaojiita "TEAM ZITTO" ambao pengine kwa nia njema ama kwa maksudi tu wanaharibu Taswira ya Mh Zitto Kabwe kwa kujaribu kutembea katika jina la Zitto kutoa Matamko, maneno na kuratibu mikutano isiyo rasmi kwa kusema wao ni TEAM ZITTO. Imebainika katika kufanya hivi sio tu inamchafua Zitto bali ina lengo la kumchonganisha Ndg Zitto na aidha viongozi wa chadema, kamati kuu ya chama, wapenzi,mashabiki wa chadema, marafiki na hata wananchi. Ajenda zinazoibuliwa na kikundi kinachojiita TEAM ZITTO ni tofauti na zile Zitto alizoziainisha mbele ya vyombo vya habari.

TUHUMA ZITTO ALIZOZIAINISHA KWA VYOMBO VYA HABARI
- Kutokushiriki kampeni za urais
- kutoshiriki operation za chama
- ukaguzi wa vyama
- posho za vikao

Zitto hajazungumzia lolote kuhusu Ukanda, Ukabila, ieleweke na iwe wazi tatizo aliloliainisha ni mapambano ya kukuza demokrasia ndani ya chama, mapambano dhidi ya wapenda demokrasia dhidi ya wahafidhina.

Kwa namna yoyote Zitto Kabwe asihusishwe na taarifa tofauti na hizi, asihusishwe na baadhi ya maandamano, asihusishwe na mikutano inayoratibiwa na wanaojiita TEAM ZITTO. Kama kuna taarifa zozote ambazo zinamuhusu zinukuliwe kutoka kwake moja kwa moja na sio mkusanyiko wa soga zisizo za msingi wowote.

Mwisho, kwa wale wote wapenda demokrasia watambue nyakati ngumu ni sehemu ya maisha ya binadamu, Zitto amekubali kufuata taratibu zote za chama kuhakikisha anahitimisha mtikisiko huu kwa hekma na kwa uvumilivu mkubwa.

Sixgates
DSM
Nimekupata Six, ila nimenotisi yafuatayo:-
1) Kuwa wewe ni mfuasi wa mashuhuri wa Mh. Zitto
2) Kuwa mipango yenu (oganaizesheni yenu) haiko vizuri na chain of command/protocal haiko sawa (eg Tamko la "brigedia" Nyakarungu).
3) Kuwa, TASWIRA ni mtu wa karibu wa Zitto (au ni mojawapo ya ID za MM)
4) Kuwa, Masalia na pro-CCM mtaendeleza propaganda chafu za udini, ukanda, ugaidi na ukabila dhidi ya CHADEMA.
5) Kuwa, mnajua fika kuwa media na majukwaa kama haya ndio njia pekee ya kutuliza frustrations zenu kuvuliwa vyeo vyote.
 
Kwa watu wote, wanademokrasia na hata wale wahafidhina tufikie mahali tuweze kuzitenganisha propaganda na media spinning zinazoendelea kwa sasa kuhusu issue ya Zitto na chadema.

Natoa tahadhari kubwa sana hapa jamvini na nitasambaza hizi taarifa kwa vyombo vingine vya habari na social media nyingine.

Kuna baadhi ya watu wanaojiita "TEAM ZITTO" ambao pengine kwa nia njema ama kwa maksudi tu wanaharibu Taswira ya Mh Zitto Kabwe kwa kujaribu kutembea katika jina la Zitto kutoa Matamko, maneno na kuratibu mikutano isiyo rasmi kwa kusema wao ni TEAM ZITTO. Imebainika katika kufanya hivi sio tu inamchafua Zitto bali ina lengo la kumchonganisha Ndg Zitto na aidha viongozi wa chadema, kamati kuu ya chama, wapenzi,mashabiki wa chadema, marafiki na hata wananchi. Ajenda zinazoibuliwa na kikundi kinachojiita TEAM ZITTO ni tofauti na zile Zitto alizoziainisha mbele ya vyombo vya habari.

TUHUMA ZITTO ALIZOZIAINISHA KWA VYOMBO VYA HABARI
- Kutokushiriki kampeni za urais
- kutoshiriki operation za chama
- ukaguzi wa vyama
- posho za vikao

Zitto hajazungumzia lolote kuhusu Ukanda, Ukabila, ieleweke na iwe wazi tatizo aliloliainisha ni mapambano ya kukuza demokrasia ndani ya chama, mapambano dhidi ya wapenda demokrasia dhidi ya wahafidhina.

Kwa namna yoyote Zitto Kabwe asihusishwe na taarifa tofauti na hizi, asihusishwe na baadhi ya maandamano, asihusishwe na mikutano inayoratibiwa na wanaojiita TEAM ZITTO. Kama kuna taarifa zozote ambazo zinamuhusu zinukuliwe kutoka kwake moja kwa moja na sio mkusanyiko wa soga zisizo za msingi wowote.

Mwisho, kwa wale wote wapenda demokrasia watambue nyakati ngumu ni sehemu ya maisha ya binadamu, Zitto amekubali kufuata taratibu zote za chama kuhakikisha anahitimisha mtikisiko huu kwa hekma na kwa uvumilivu mkubwa.

Sixgates
DSM

Na mbona Zitto hajakutangaza kuwa wewe ndiye msemaji wake!?
 
Back
Top Bottom