ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,543
YoKimbunga hiki/upepo mkali ukiambatana na mvua kubwa huenda vikatokea pwani yetu hususan miji ya Lindi,Mtwara,Dar es salaam,Unguja,Mombasa,Malindi
Chanzo kinasema upepo huo unatarajiwa kati ya tarehe 21/4/2021 na 26/4/2021....
Hivyo tuchukue tahadhari na bahari kwa siku hizi,na kufuatilia utabiri wa hali ya hewa
Nchi nyingine zitakazoathirika ni pamoja na,Madagascar,Seychelles,Mayote na Msumbiji
Chanzo cha Habari@ al Jazeera news /weather report.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
TMA kama kawaida yao, wanasubiri kimbunga kipite na maafa yake kwanza ndio watoe "TAHADHARI".
HahahahaKimbunga jobuView attachment 1760510
Kamati ya maafa inatakiwa kuwa tayari na kutahadharisha watu. Huwa hatuamini mpaka yatokee.Shida ya watanzania ni kupuuza habari kama hizi, ila yakishatokea mabaya ndio wa kwanza kulaumu.
Tena ili kudhibitisha kuwa huo uongo haukougopeshi siku hiyo panda juu ya mnazi kabisa utulie zako!!Wote tunajua TMA hawana uwezo huo, wasitishe watu.
Kama mnabisha, ngoja muone.
Tuombe Mungu athari zisiwe kubwa hasa kwenye vilinge
Tulitakiwa tufanyaje sasa mkuu . Tupanic na kuanza kuukimbia mji?Shida ya watanzania ni kupuuza habari kama hizi, ila yakishatokea mabaya ndio wa kwanza kulaumu.