Yaani mie naogopa nyoka hadi sio vizuri. Nikipita mahali nikakuta kauawa yaani kitu kikinigusa tu naruka na silali kwa amani siku hiyo.
Jana maeneo ya Singida,nilisimama nikate gogo, aisee nilikutana na nyoka mweusi mkubwa sana, yaani alikata jicho, nikajikuta narudisha boxer mahala pake gogo linarudi ndani, nikageuza taratibu, nikavumilia mpaka nilipofika dodoma ndio nikaenda kushika adabu zangu.
Bela Ciao kumbe ndio maana nyoka wa kijani wanamwita nyoka mmbeya sababu mkiwa chini ya mti mnapiga soga yeye anawasanifu kumbe ni green mambaNosradamusEstrademe View attachment 1265855Green tree snakeView attachment 1265856Green mambaView attachment 1265857
Boomslang
Bela Ciao kumbe ndio maana nyoka wa kijani wanamwita nyoka mmbeya sababu mkiwa chini ya mti mnapiga soga yeye anawasanifu kumbe ni green mamba
Inaonekana kuna species maelfu ya nyoka duniani.Yuko mmoja anaitwa Puff Adder (kifutu) ni mfupi mno lakini mnene na sio mchokozi ila ukimkanyaga ndio anakuuma na mguu unaweza oza hadi ukatwe ninavyosikia.
**Tabora inasemekana kuna nyoka mrefu akiwa juu ya mti ukipita anarukia utosini anakugonga ni huyu koboko?
**Nyoka wapo wanawinda usiku au ni mchana tu.
**Wengi wa nyoka normally hawako aggressive hadi washokozwe au wakanyagwe.Je wapo ambao bila kuchokozwa akikuona unakuja anakusubiri au pengine kukukimbiza?
Ahsante Mshana Jr kuanzisha mada hii.
Ahsante Bela Ciao kujibu kitaalamu.
Mwagia punje Zach ulezi kuzunguka makaziDawa gani ya kufukuza nyoka kwa 90%? Mie napikia jiko la kuni ndani moshi wa kumwaga ndani sidhani hata nyoka anaweza kukaa.
Nilimkuta gheto... Mama ake na msaka vibaya mno. View attachment 1265438
Wananyonya wapi?Mkuu je wajua nyoka watt hawana mahusiano na mama zao tangu kujiangua?
Yaaa oil chafu inasaidia sana. Mimi hii kila mwezi naimwaga mazingira ya hom. Kuwapa karaha nyoka waone sio sehem salama ya kuishi.1.Angalizo msije dhani black mamba aliitwa hivyo vile mweusi la hasha wapo black mamba wa kijani.
Waliitwa hivyo sababu ufizi wao ni mweusi sio mwekundu.
2.Ni kweli mafuta ya taa na jamii za petrol ni kero kwao sana na mafuta ya samli.Ukifanikiwa kumpaka mwilini anapata hasira mno atakutafuta kukushambulia ila ukweli baadae atakufa lazima
Mahali popote penye maoil yaliyomwagika garage au petrol station uliza wameshawahi ona nyoka?
Niliwahi kuhama kwangu kwa mwezi mzima. Nilikuta kitoto cha nyoka nje ya nyumba, nikaambiwa mama yake hayuko mbali. Weeeeeh nilihama kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nasikia cobra wakiingia ndani break ya kwanza chini ya mto au ndani ya shuka,, sasa siku mmoja akiingia kwako na ukagundua kama nakuona unavyoenda kuhama nyumba..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahahaha nyoka ananyonya mkuu?Wananyonya wapi?
Hii pia inaweza kukusaidia kufahamu unakabiliana na nyoka wa aina gani.View attachment 1266067
Niliwahi kuhama kwangu kwa mwezi mzima. Nilikuta kitoto cha nyoka nje ya nyumba, nikaambiwa mama yake hayuko mbali. Weeeeeh nilihama kabisa.
Huko mbali hivyo[emoji134][emoji134] hapo snake park Arusha tu sikanyagi hata kwa milioni.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haki nimecheka hadi nimepaliwa,, kwahiyo hao waliokuambia kuwa mama yake hayuko mbali ndiyo wakakufurugha kabisa?? Ukaona uwaachie nyumba mtu na mama yake wajinafasi vizuri
Hivi mtu akikuambia anakupa offer ya kuenda kutembelea kisiwa fulani kiko Brazil kinaitwa Snake Island yaani wanaishi nyoka tu wa kila aina dunia hii,, halafu gharama zote juu yake na anakupa hela ya ziada utakubali??[emoji1787][emoji1787]
Nipe mantiki ya ulezi na kufukuza nyoka.Mwagia punje Zach ulezi kuzunguka makazi