Hebu jamani tusipotezane hapa, inaonekana kun baadhi ya points ambazo watu hawazielewi vizuri lakini wapost tu.
Kwanza "Sigals za wireless nyingi zinazotoka kawenye anttena(minarayasimu in thiscase ) ni
Omnidirectional " si kweli, minara ya simu hutumia technologia inayojulikana kama beam forming specifically, inatumia constructive and destructive interference kudirect radio waves in particular angle. Ndiposa watu wanatumia neno cell.
Ukiangalia minara ya simu utapata kuna transmiter tatu zikiwa about 120 degrees apart, ukiwahi tower sita basi unamake cell moja. Uka angalia minara ya simu kutoka juu, kisha uchore line kutoka transmiter hadi transmiter ukizingatia 120 degrees angle kati yazo utapata picha kama hapo chini. ni kama cells za honeycomb.
Cells zimetengenezwa hiyo ndio kuwe na signal kutoka pande zote, na hiyo ndio sababu "Hijalishi simu imeleekezwa" wapi.
Ukija kwa simu yenyewe, kwa sababu ya regulations za serikali ambazo zina limit kiasi cha radiation exposure, ma engineer wanatengeneza antena za simu kutransmit signals kutokea sehemu fulani ya simu kwa wingi kuliko sehemu zingine. Kama mnakumbuka Iphone mpya ilipotokea kuna sehemu ilikuwa ukiweka mkono tu basi simu inkatika, kama ingekuwa signal za simu zina tokea kote kwa usawa basi pasingekuwepo na shida hizo za iphone.
Aliye uliza vipimo. vina itwa "Specific Absorption Rate (SAR)" units zake ni "watts per kilogram (W/kg)". ukizingatia maelezo na mawaidha ya IEEE basi SAR za kichwa zisizidi 1.6 W/kg, kwa mwilli zisizidi 0.08 W/kg. Kwa mikono, viganja na miguu zisizidi 4 W/kg.
Kisha huwezi kucompare radio na simu, radio ni receiver tu, inapokea radio waves, wakati simu ni tranceiver. Ina transmit na ku recive.