Tahadhari: Hii ni hatari sana kwenye simu

Kumekuwa na tabia ya watu
wanapopokea simu huigeuza
na kusikilizia nyuma hii ni
hatari.
Mionzi ya mawimbi ya umeme
ambayo hugeuzwa kuwa sauti kutoka katika mnara wa simu
hupokelewa au huingilia
kupitia upande wa
nyuma,hivyo ni hatari sana
kwani unaposikilizia nyuma
husababisha mionzi kupenya moja kwa moja sikioni
nakwenda kuathiri ubongo.
Madhara sio rahisi kuyaona
haraka kwani huchukua muda
mrefu,hivyo kumbuka kutumia
simu kwa matumizi yake pia kumbuka kuiweka simu kwa
kutanguliza kioo au upande
wambele unapoweka mfukoni
ili ile mionzi isije kuathiri
mwili kwani kama utaigeuza
mionzi itakuja na kugonga upande stahili ambao ni nyuma
ya simu.

Mkuu asante kwa taarifa hiyo. Nikupata na hapa nimeelimisha wengine kama kumi nilikuwa nao ofisini
 
Kumekuwa na tabia ya watu
wanapopokea simu huigeuza
na kusikilizia nyuma hii ni
hatari.
Mionzi ya mawimbi ya umeme
ambayo hugeuzwa kuwa sauti kutoka katika mnara wa simu
hupokelewa au huingilia
kupitia upande wa
nyuma
,hivyo ni hatari sana
kwani unaposikilizia nyuma
husababisha mionzi kupenya moja kwa moja sikioni
nakwenda kuathiri ubongo.
Madhara sio rahisi kuyaona
haraka kwani huchukua muda
mrefu,hivyo kumbuka kutumia
simu kwa matumizi yake pia kumbuka kuiweka simu kwa
kutanguliza kioo au upande
wambele unapoweka mfukoni
ili ile mionzi isije kuathiri
mwili kwani kama utaigeuza
mionzi itakuja na kugonga upande stahili ambao ni nyuma
ya simu.

ABSOLUTELY NOT TRUE...you need to study more about wireless signals mkuu...ni kweli hizi signals zina madhara (in long term uses) lakini si kama hivi ulivyowatishia watu hapo juu...swali rahisi: spika kazi yake ni kutoa sauti ua kupokea mawimbi ya simu?? so ukijua kazi ya spika basi utaelewa wapi ulipokuwa unachanganya mambo, coz hapo watu wengi wanaposikilizia its just a spika wengi huwa wanafanya hivyo (mi binafsi yangui si mtumiaji wa hivyo but siwashangai wanaofanya hivyo) sababu either normal speaker ya simu haifanyi kazi au inatoka ndogo sana, so mpaka waweke loud speaker then wageuze upande ulipo spika...
pili, kama alivyosema Mtazamaji hapo juu, signals hizi ni omnidirectional...na antena ya simu inayopokea hizi signals inapokea kwa mtindo huohuo...na ndo mana hata simu ukiweka ndani ya gunia itaita tu...la sivyo ingekuwa basi ukiziba hapo kwenye spika simu haiiti(hupatikani hewani)..
 
Tatizo baadhi ya simu za kichina sauti iko chini sana kwa upande wa mbele, so watu wengi wajikuta wakitamani kugeuza coz speaker zake zipo kwa nyuma. message sent kwa watumiaji wa simu za mchina.:sorry:
 
mimi situmii mchina but nikuulize: na wewe unakubali kuwa mawimbi ya simu yanapokelewa kupitia spika sio??
 
Nzi kumbe nimekujibuje?b
ngarambe na mzeelapa. Ni kweli watanzania ni wengi ni wabishi kwa kujifanya wajuaji. Ni sawa na pale unapomuelimisha mtu madhara ya kutumia gazeti kufungia vitafunwa kama maandazi,vitumbua,mihogo,viazi n.k. Ukimwambia mtu kwamba wino unaotumiwa kwenye magazeti una lead,kemikali yenye madhara kwa binadamu hususani kwenye mfumo wa fahamu na ubongo,anakupa jibu kama la Elli
 
Kumekuwa na tabia ya watu
wanapopokea simu huigeuza
na kusikilizia nyuma hii ni
hatari.
Mionzi ya mawimbi ya umeme
ambayo hugeuzwa kuwa sauti kutoka katika mnara wa simu
hupokelewa au huingilia
kupitia upande wa
nyuma,hivyo ni hatari sana
kwani unaposikilizia nyuma
husababisha mionzi kupenya moja kwa moja sikioni
nakwenda kuathiri ubongo.
Madhara sio rahisi kuyaona
haraka kwani huchukua muda
mrefu,hivyo kumbuka kutumia
simu kwa matumizi yake pia kumbuka kuiweka simu kwa
kutanguliza kioo au upande
wambele unapoweka mfukoni
ili ile mionzi isije kuathiri
mwili kwani kama utaigeuza
mionzi itakuja na kugonga upande stahili ambao ni nyuma
ya simu.

Shukrani sana,hilo la kugeuzi upande wa nyuma wa simu kwenye mwili linanihusu. Ntajirekebisha,ila pia tujaribu kuwaelimisha na wengine.
 
Nadhaniinabidi ujarubu kusoma soma kuhusu wireless signal au mobile propagation .Then utaelewa kuwa habari uliyoandika siya kweli. . Sigals za wireless nyingi zinzoto kawenye anttena(minarayasimu in thiscase ) ni Omnidirectional

images
images

So hizi ni dondooo

  • Mawimbi (Wirelss siganal) zinazotoka kwenye minara yasimu ni Omnidirectinal.Hijalishi simu imeleekezwa kusini au kakazinim, mashariki au magahribu au imegeuzwa juu au chini au inasikilizwa kwa nyuma au kwa mbele
  • kwa hiyo kama ni kweli mionzi na signas hio zina madhara ukigeuza simu basi hata usipoegeuza jua Mionzi ipo na nitapita tu sikioni nahata machoni mdomoni na puani nakwenyengozi.Sababu hiyo miozi ipo tu huioni . Kinanchofaynywa na simu ni kuibadilisha liisha kuwa sauti inayotambulika na binadamu
  • Dondoo ya mwisho nikuulize vipi ukigeuza radio nayo ina madhara ?

Kama kuna makosa hope nitasahihishwa

Mtoa maada yupo sahihi kabisa, ukifungua simu yoyote ile utaiona sender ipo upande wa pili usio na kioo/screen. Mawimbi pale kwenye yanatolewa kwa maximum intensity ili yaweze kufika kwenye transmitter yakiwa na substancially intensified signal. Namuunga mtoa thread not for the sake of controversy as long as I am a reputable Physist and Mathematician.
 
Mtoa maada yupo sahihi kabisa, ukifungua simu yoyote ile utaiona sender ipo upande wa pili usio na kioo/screen. Mawimbi pale kwenye sender/source yanatolewa kwa maximum intensity ili yaweze kufika kwenye transmitter yakiwa na substancially intensified signal. Namuunga mtoa thread not for the sake of controversy as long as I am a reputable Physist and Mathematician.
 
Mh, japo si profesional yangu, lkn naona hapa mkuu imekuwa chungu kumeza!
 
Nilichogundua hapa ni Politics/mazoea vs Scientific facts. Bora nikae pembeni.
 
Mtoa maada yupo sahihi kabisa, ukifungua simu yoyote ile utaiona sender ipo upande wa pili usio na kioo/screen. Mawimbi pale kwenye yanatolewa kwa maximum intensity ili yaweze kufika kwenye transmitter yakiwa na substancially intensified signal. Namuunga mtoa thread not for the sake of controversy as long as I am a reputable Physist and Mathematician.

Asante sana mkuu lakini unaeza kunifafanulia Hizi hojambili
I
Hiyo maximum intesity ni
  • katika kipimo gani?
  • Ni kiasi gani?
  • Kwa nini iwe na madhara simu ikigeuzwa tu na isiwe na mdhara vinginevyo?

II
Pia nimeuliza vipi Redio ndogo nayo ukigeuza ukaiweka sikioni ina madhara na usipoigeuza haina madhara .Au Mawzimbi ya matangazo ya radio na mawimbi yanyotumika wa na simu yana tofauti gani ?
 
Hanuna ukweli kwenye hili, antena ya simu haitoi mionzi kwa nyuma zaidi ya kwa mbele ingekuwa hivyo simu ingekuwa inakata mawasiliano usipoielekezea kwenye mnara, antenna za simu ni omni directional kama alivyofafanua mdau mwengine.

Njia ya kuepuka mionzi ya simu ni kutumia headset, tena tumia wired headset maana wireless inaweza ikawa na madhara yake mengine.

Pia epuka kuishika simu kwa juu hii inaweza kuzuia signal hivyo kuibidi simu itumie radio waves zenye nguvu zaidi.
 
Mtoa maada yupo sahihi kabisa, ukifungua simu yoyote ile utaiona sender ipo upande wa pili usio na kioo/screen. Mawimbi pale kwenye sender/source yanatolewa kwa maximum intensity ili yaweze kufika kwenye transmitter yakiwa na substancially intensified signal. Namuunga mtoa thread not for the sake of controversy as long as I am a reputable Physist and Mathematician.
Nzowa Godat

Ok japo Physics yangu ya kuungaunga trough kanumbas schools kuna hoja mbili kule hujatoa ufafanuzi.

  • What is maximum intensity?(at least approximation). Kwenye phsyics topic ya kwanza form1 ni Measurement na mambo ya SI unit.Basi mwageni darasa kisayansi au wekeni link tuone kama hiyo intesity ni real threat tu simu ikigeuzwa . Maneno ya kama maximum yanakuwa tata bila vipimo na ukadiriaji wa kitalaam..
  • Na vipi kama nasilkiza karadio kangu kadogo huku nimekageuza kuna tatizo pia?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom