Chanazi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2010
- 212
- 72
Kuna wizi unaendelea kwa wateja wa NMB Mobile Banking, Unapigiwa sim na watu wanakudadisi infomation zako wakijifanya watu wa TCRA then Line yako ina fanyiwa Swap kwa kufojiwa kitambulisho cha kupigia kura, then wana hamisha salio kwenye akaunt yako ya bank kwa kutumia MPesa, Tigo, Airtel Money nk,
Kama hujajiunga na Mobile bank wanatafuta line yao wana kuunganisha wanaanza kufanya miamala kutoka kwenye account yao.
Kua makini, angalia statement ya akaunt yako NMB Mobile Bank Department imeoza!
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums