Mbagala stendi
JF-Expert Member
- Nov 8, 2020
- 289
- 266
Ukiwa Una pesa Wala michongo ya pesa, ukivaa kandambili/ndala lazima sikukatikie katikati ya mji hili mradi tu utesekeš„
Tafuta pesa ili usje ukala wali na chaiSawa
nikiwa nazo nakula niniTafuta pesa ili usje ukala wali na chai
Ama ugali na chai
Lugha kidogo imekuwa changamotoUkiwa Una pesa Wala michongo ya pesa, ukivaa kandambili/ndala lazima sikukatikie katikati ya mji hili mradi tu uteseke
Ukiwa huna hela hata ndevu huota hadi puani ili ushindwe kupumua ufeUkiwa Una pesa Wala michongo ya pesa, ukivaa kandambili/ndala lazima sikukatikie katikati ya mji hili mradi tu utesekeš„
Tafuta pesa usije ukala ugali kabichišTafuta pesa ili usje ukala wali na chai
Ama ugali na chai
wa š¤£š¤£š¤£ hua zinatabia hiyo ili tu ufeDah? Mkuu yani unanisema mimi kabisa, Mimi zimefika mpaka kooni shingoni kabisa sijui zinataka zininyige nifešš
Nimecheka kwa sautiTafuta pesa mpaka mama mkwe akuite mme wetu.
Usipokuwa na pesa, kwenye vikao vya familia hautahuliza unakunywa soda gani utashitukia mirinda nyeusi iyo mikononi .
Saasa hiyo "Una" ndio una maanisha "Huna?"Ukiwa Una pesa Wala michongo ya pesa, ukivaa kandambili/ndala lazima sikukatikie katikati ya mji hili mradi tu utesekeš„
Hata hapa, bado lugha ni changamoto. Pole sana, nazani ndo sabab ccm wanaendelea kutawala tz toka uhuru.Mshana Jr. Ni makosa tu ya kiuhandishi