Tafuta wakufanana naye

Uko sawa Yuniki mbuzi atamuoa mbuzi .Sijawahi kuona mbwa kamuoa tembo.
 
Anaye mtaka mwenye hela nae inabidi awe na hela.

Nimekukumbusha hii point naona ulihisahau.
 
Hata mwanaume awe muhuni kiasi gani huwa anapenda kuoa mwanamke mwenye sifa nzuri, wife material.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…