ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 16,295
- 31,694
✅✅
Kuna habari huko+256
Hao watu 3 wameasi harakati za ukombozi
1 picha ina watu 4 Jenestha pekee ndo hana tabasamu na Sasa ni marehemu
Hii naeza tabiri huu is next hapa. Nadhani hata nyie mmeona halo.
Wa kulia na kushoto wana makubaliano waliyoshiriki kumuondoa wa katikati alie na sura isio na furaha
Kulia Kwa gadner ninani?
Master TindwaKulia Kwa gadner ninani?
Wote wamepumzishwa gafla
Hili somo liliniingia saana. Naogopa picha.
Hili somo liliniingia saana. Naogopa picha.
Ila Mshana kuna hii somo, hebu nipe kwa undani