Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Hii ni familia moja ya Catechist James Njoroge Kabari ilihusika kwa ajali pale Naivasha,Ni msichana tu aliweza kunusurika ako Naivasha Hospital
1767885737728.jpg
 
Hawa ni wanafunzi watatu wa Kaptik Secondary School wenye waligongwa na Lori Karibu na gate ya shule yao leo asubuhi kwenye barabara ya Chavakali -Kapsabet.Walikua marafiki na wameaga dunia pamoja💔😭,ukiwa na utu usipite bila kuambia wazazi pole.
1772029888439.jpg
 
Benny

Naamini kabisa hukuelewa kabisa nilichoandika,! Ni hivi sizungumzii picha yako na mtu fulani au kitu fulani nazungumzia picha za makundi na hicho unachoita coincidence.

Kuna picha sipo nazo hapa lakini picha ya kwanza walipiga watu saba chini ya mtu watatu walikaa kushoto na wane walikaa kulia! Wale wane walikuja kufa kwa kufuatana kwa miezi minne mfululizo.

Picha nyingine jamaa wakiwa sekondari siku ya mahafali walipiga picha ya kumbukumbu wanafunzi kama kumi hivi na mabinti wa shule ya jirani.

Kwenye ile picha kuna kijana mmoja alikuwa kachuchumaa na binti mmoja halafu mwingine alikuwa kasimama pia na binti...baada ya miaka kupita kila mmoja bila kutegemea alimuoa binti aliyekuwa naye karibu na siku wanakutana kwenye kuangalia album mmoja ndio akakumbuka hilo tukio
Si walikuwa marafiki na wanaiba iba mambo flani kila jambo Lina matokeo yake
 
Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa roho
 

Attachments

  • 20260520_214805.jpg
    20260520_214805.jpg
    77.3 KB · Views: 11
Back
Top Bottom