Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,660
- 23,140
Alokuwa hajavaa miwaniHilary ni yupi hapo?
Alokuwa hajavaa miwaniHilary ni yupi hapo?
Ufafanuzi tafadhali
Hii mbona inaanza kutoa majibu hivi
Yaaani hii post huwa naiogopa hatari 🤣🤣🤣
Hii imeeeendaaawww.facebook.com
Kwa kuposti hii picha umetenda kosa kubwa sana. Saa nne kamili uje mwenyewe centro.
Wakati wa Awamu ya Tano. Hotuba zake zilianza kusikilizwa. Sina hakika awamu zinazofuata.usingizi wa pono.
Hiyo ishatoa majibu kitambo tuHii mbona inaanza kutoa majibu hivi
Njia ni ile ile hakuna kupotea njiaHiyo ishatoa majibu kitambo tu
Kijana Masikini unacheka nini sakuna picha tulipiga siku ya kumaliza pepa la darasa la saba khaaa imenishangaza sana kuna msichana classmate wangu nipo nae tuna-date kwa sasa kwenye , pichani nilikuwa nimemtazama 😅
Hapana mkuu nimefurahi tu kusikia hivyo, mimi sijawahi kumkula classmate natamani nimuonje mmoja nione kama watamu.Kijana Masikini unacheka nini sa
kijana wa kimaskini kweli wewe utamu ni ule uleHapana mkuu nimefurahi tu kusikia hivyo, mimi sijawahi kumkula classmate natamani nimuonje mmoja nione kama watamu.
Sawa lakini ni lazima kutakuwa kautofauti kidogo, mfano ukila kahaba wa kununua na ukila mdada wa jirani yako ambae mnaheshmiana siku zote.kijana wa kimaskini kweli wewe utamu ni ule ule