Asali ni tamu sanaYou can read that smileView attachment 3655154
Pengine kuficha aibu kapewa cash
Kuna nini kinaendelea hapa Welwel na mwenzake ni kama siyo sehemu ya huo mjadala, waliokatikati ya Lema ni kama hawako interested na kinachozungumzwa na wenye kofia ni kama wanawazo linalofanana.
Trust me hata Leo kalipwa
Yuda on one and twoYou can read that smileView attachment 3655154
Na suit zimefanana tai kasoro posture aliyeweka mikono mfukoni ni kama anamamlaka juu ya wengine.You can read that smileView attachment 3655154
God is watching...!Lazima alipopewa mualiko atakuwa aliomba Cash ya Suit, Cash ya mafuta ya gari, cash ya Per Diem, Cash ya Posho ya Dereva, Cash ya Dharula, Cash ya Public Appearance, Cash ya Dharula ya Gari, Cash ya Service ya Gari, n.k.
Meku yeye anaomba Cash kwa System na anapewa
Na suit zimefanana tai kasoro posture aliyeweka mikono mfukoni ni kama anamamlaka juu ya wengine.
Ndege wafananao huruka pamoia
Yeah na bahati mbaya wote wawili ni vichwa maji kuliko yeyeMbowe wa kitambo sana kwenye medani za kisiasa kuliko hao mawaziri wanaotoka Mikoa ya mwambao
sio tu siasa Mbowe mtoto wa Mjini sanaMbowe wa kitambo sana kwenye medani za kisiasa kuliko hao mawaziri wanaotoka Mikoa ya mwambao
You can read that smile
Mwenyekiti mstaafu soon anapewa nafasi kubwa na Umati utashangaaYou can read that smileView attachment 3655154