Deni.Habari wanajamii naomba kufahamu tafsiri ya neno "owe" naona linamatumizi mazuri katika lugha ya kiingereza ila kwenye lugha yetu ya Kiswahili sifahamu tafsiri yake, kwa yeyote mwenye kujua anifahamishe
Sure.. Uko sahihi.I owe you... Mm ndo nadaiwa au ww ndo unanidai. Owing to lihemba. Lihemba ananidai
Sent using Jamii Forums mobile app
Neno LIKE latumikaje kumaanisha THAMANI YA FEDHA? .... ninatamani na naamin na members wengine pia wangetaman kufahamu ulimaanisha nini Quoted below is your text as it appeared in your above comment ...I owe you one like. Unanidai like moja.
Siku hizi hili neno halitumiki sana. Watu hawataki kukubali wanadaiwa.
Neno LIKE latumikaje kumaanisha THAMANI YA FEDHA? .... ninatamani na naamin na members wengine pia wangetaman kufahamu ulimaanisha nini Quoted below is your text as it appeared in your above comment ...
I owe you one like. Unanidai like moja
I owe you... Mm ndo nadaiwa au ww ndo unanidai. Owing to lihemba. Lihemba ananidai
Sent using Jamii Forums mobile app
HAPOHAPO!! Yani naona umenielewa haswa nilikuwa nataka kufahamu tafsiri ya neno "owe" kwa Kiswahili ila hiyo tafsiri yake iwe inatumika kweli kwenye jamii ya sasa, na ndio maana nikasema mwanzo kuwa wenzetu hili neno kwao linamaana nzuri na wanalitumia vizuri, huku tutaishia kusema linahusiana naku"dai" ilhali hatulitumii kama wazungu wanavyolitumia kwenye vitu visivyoshikika mfano: kutendewa wema. Yani mzungu anaweza akakwambia I owe you endapo ataona umemtendea jambo ambalo ni jema sana. Sisi huku kwetu nilichoshuhudia ni kuwa kizazi kilichokuwa kinatumia neno "deni" hata katika vitu visivyoshikika(mf:wema) ni kizazi cha watu wenye umri wa miaka 45+ ila kizazi cha sasa hatuna matumizi ya neno "deni" sahihi/yanayostahili hivyo basi nikaona ni vyema niulize tafsiri ya neno "owe" maana kama neno kudai limekosa matumizi sawa na neno "owe" kwa nini tuendelee kuwa na tafsiri ileile?bussy bees. I owe you, sio lazima iwe fedha.
Unaweza ukawa unadaiwa soda, beer, like, papuchi na vinginevyo.
HAPOHAPO!! Yani naona umenielewa haswa nilikuwa nataka kufahamu tafsiri ya neno "owe" kwa Kiswahili ila hiyo tafsiri yake iwe inatumika kweli kwenye jamii ya sasa, na ndio maana nikasema mwanzo kuwa wenzetu hili neno kwao linamaana nzuri na wanalitumia vizuri, huku tutaishia kusema linahusiana naku"dai" ilhali hatulitumii kama wazungu wanavyolitumia kwenye vitu visivyoshikika mfano: kutendewa wema. Yani mzungu anaweza akakwambia I owe you endapo ataona umemtendea jambo ambalo ni jema sana. Sisi huku kwetu nilichoshuhudia ni kuwa kizazi kilichokuwa kinatumia neno "deni" hata katika vitu visivyoshikika(mf:wema) ni kizazi cha watu wenye umri wa miaka 45+ ila kizazi cha sasa hatuna matumizi ya neno "deni" sahihi/yanayostahili hivyo basi nikaona ni vyema niulize tafsiri ya neno "owe" maana kama neno kudai limekosa matumizi sawa na neno "owe" kwa nini tuendelee kuwa na tafsiri ileile?
Au huenda si neno "deni" ndilo lenye kukosa tafsiri sahihi,
bali ni kizazi cha sasa ndicho chenye kukosa conviction(hatia) inayopelekea kutumia hili neno?
Tuelimishane hapo.
Ni kweli neno hili linapaswa kutumika baina ya watu wanaofahamiana ila watumiaje ni wachache.Nareen, Usemavyo ni sawa.
Kwa Wenzetu, ukimtendea mtu wema, na mkawa na tabia ya kukutana mara kwa mara, basi anaweza kusema " I owe you". Tafsiri yake ni kwamba, yupo obligated kurudisha huo wema siku moja. (Kwa mantiki hiyo anajihisi anadaiwa kurudisha huo wema)
Sidhani kama kuna mtu atakufanyia wema, halafu atumie neno "I owe you" wakati anajua fika hamtawahi kuonana tena. Mtumiaji wa hilo neno, katika hayo mazingira, atakuwa hajatenda haki.
Kwa kifupi "owe" ni obligation ya wewe kulipa kitu. Inaweza ikawa hela, au hata fadhila.
Kabisa mkuu,sio lazima fedha,bussy bees. I owe you, sio lazima iwe fedha.
Unaweza ukawa unadaiwa soda, beer, like, papuchi na vinginevyo.
I owe you one like. Unanidai like moja.
Siku hizi hili neno halitumiki sana. Watu hawataki kukubali wanadaiwa.
"Siku hizi neno hili (owe) halitumiki sana ... watu hawataki kukubali wanadaiwa" ........ je ulimaanisha nn ktk maneno hayo ....hasa watu hawataki kukubali wanadaiwabussy bees. I owe you, sio lazima iwe fedha.
Unaweza ukawa unadaiwa soda, beer, like, papuchi na vinginevyo.
Xoxo ni aina gani ya neno?wewe usimix maneno..
owe na owing to ni maneno tofauti na yana maana tofauti...
owe imeelezwa na wadau ila owing to ina maana due to, because of, thanks to, and xoxo