Hiyo mbona wanasema. Ukijikamua sana wakati wa kukata gogo unalegeza misuli ya uumue, wanasema misuli ya uume imeanzia kwenye rings/sphincter za anus.Hizi tafiti haswa kwenye nguvu za kiume zinaongezeka kila siku,kuna siku tutakuja kuambiwa ata kukata gogo kunapunguza nguvu za kiume haha
Kwa hito tiache kunya na maisha sasa yatakuwajeHiyo mbona wanasema. Ukijikamua sana wakati wa kukata gogo unalegeza misuli ya uumue, wanasema misuli ya uume imeanzia kwenye rings/sphincter za anus.
Gogo linatakiwa liwe laini, litoke na liteleze lenyewe bila kutumia nguvu sana mpaka unahema na kutoa jasho.Kwa hito tiache kunya na maisha sasa yatakuwaje
Muone vile..Tusingezaliwa, bibi alimfungia msure ugali wa jana ale lunch shule na akirudi jioni anakutana na nguna ya moto.