Leonardchama7 JF-Expert Member Joined Apr 14, 2018 Posts 2,964 Reaction score 4,052 Sep 18, 2018 #21 Kwa tafiti hizi itafikia hatua tutaambiwa kumuangalia sana Jirani or shemeji yako kunapunguza nguvu za kiume
Kwa tafiti hizi itafikia hatua tutaambiwa kumuangalia sana Jirani or shemeji yako kunapunguza nguvu za kiume
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,441 Reaction score 872,037 Sep 18, 2018 Thread starter #22 Leonardchama7 said: Kwa tafiti hizi itafikia hatua tutaambiwa kumuangalia sana Jirani or shemeji yako kunapunguza nguvu za kiume Click to expand... [emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]
Leonardchama7 said: Kwa tafiti hizi itafikia hatua tutaambiwa kumuangalia sana Jirani or shemeji yako kunapunguza nguvu za kiume Click to expand... [emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]
Ndesalee JF-Expert Member Joined Apr 17, 2014 Posts 1,092 Reaction score 522 Sep 18, 2018 #23 Kwa haya matokeo ya tafiti za siku hizi,zitatufanya tuanze sasa kuhoji weledi wa hao watafiti. Mana zimekuwa na matokeo ovyo kabisa kuwahi tegemewa.!!
Kwa haya matokeo ya tafiti za siku hizi,zitatufanya tuanze sasa kuhoji weledi wa hao watafiti. Mana zimekuwa na matokeo ovyo kabisa kuwahi tegemewa.!!
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,441 Reaction score 872,037 Sep 18, 2018 Thread starter #24 Ndesalee said: Kwa haya matokeo ya tafiti za siku hizi,zitatufanya tuanze sasa kuhoji weledi wa hao watafiti. Mana zimekuwa na matokeo ovyo kabisa kuwahi tegemewa.!! Click to expand... Kama wale waliosema maziwa ya mende ni tiba ya saratani
Ndesalee said: Kwa haya matokeo ya tafiti za siku hizi,zitatufanya tuanze sasa kuhoji weledi wa hao watafiti. Mana zimekuwa na matokeo ovyo kabisa kuwahi tegemewa.!! Click to expand... Kama wale waliosema maziwa ya mende ni tiba ya saratani
Ryzen JF-Expert Member Joined Dec 6, 2012 Posts 7,312 Reaction score 8,754 Sep 19, 2018 #25 Usiseme Tafiti za Kijuha, Pinga tafiti kwa Tafiti
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,441 Reaction score 872,037 Sep 19, 2018 Thread starter #26 Architectus said: Usiseme Tafiti za Kijuha, Pinga tafiti kwa Tafiti Click to expand... Vingine huhitahi hata kuumiza kichwa.. Unaangalia uhalisia tuu
Architectus said: Usiseme Tafiti za Kijuha, Pinga tafiti kwa Tafiti Click to expand... Vingine huhitahi hata kuumiza kichwa.. Unaangalia uhalisia tuu