Bratherkaka
Senior Member
- Apr 30, 2012
- 101
- 10
Habari! Msaada kati ya maneno mawili kati ya kuzini na unzinzi.
Habari! Msaada kati ya maneno mawili kati ya kuzini na unzinzi.
Kuzini ni kitendo (verb) mfano [Juma alishitakiwa kwa kuzini na mke wa mtu]
Uzinzi ni noun [Uzinzi ni m-baya kama ilivyo "pombe ni mbaya"]