Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 784
- 1,313
[Ufunuo 2:14]Lakini ninayo maneno machache juu yako, kwa kuwa unao huko watu washikao mafundisho ya Balaamu, yeye aliyemfundisha Balaki atie ukwazo mbele ya Waisraeli, kwamba wavile vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu, na kuzini.
[Hesabu 31:16]Tazama, hawa ndio waliowakosesha wana wa Israeli, kwa shauri la Balaamu, wamfanyie BWANA dhambi katika hilo jambo la Peori, na kwa hivyo pigo lilikuwa katika mkutano wa BWANA.
[Hesabu 25:2]kwa kuwa waliwaalika hao watu waende sadakani, sadaka walizowachinjia miungu yao; watu wakala chakula, wakaisujudu hiyo miungu yao.
[Hesabu 25:1] Israeli walipokuwa huko Shitimu, wanaume walianza kuzini na wanawake wa Moabu
[Hesabu 25:3]Ndivyo Israeli walivyojiunga na mungu Baali wa Peori, nayo hasira ya Mwenyezi-Mungu ikawaka dhidi yao.
[Ufunuo 2:15]Vivyo hivyo wewe nawe unao watu wayashikao mafundisho ya Wanikolai vile vile.
[Ufunuo 2:16]Basi tubu; na usipotubu, naja kwako upesi, nami nitafanya vita juu yao kwa huo upanga wa kinywa changu.